Tuelezwe tatizo la Makonda kabla ya kumlaumu

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,918
95,201
Inatia ukakasi mkubwa sana kusikia kiongozi mkubwa wa mkoa anatoa matamshi ya ETI ATAWAKAMATA WATU WOTE WANAO ZULURA BILA KAZI.

Hivi anajua nini maana ya kuzurula? Hivi anajua maana ya kazi? Anaweza kutwambia kuwa tangu mwaka 2015 wao kama serekali wametoa ajira ngapi hadi sasa kwa vijana wanaoaliza shule?

Tuelezwe tatizo lake kabla ya kumlaumu maana naona kama kuna tatizo siyo bure.
Screenshot_20200405-221025.jpeg

In God we Trust
 
Hakika kuna kuchanganyikiwa.Hii heli si kawaida.Sijui ni kwa nini ila hali inaashiria dalili za kuchanganyikiwa.

Huku kuna wito wa kuwatoa mahabusu wanaodhaminika,hapo hapo kuna amri ya kukamata wazururaji ambao kwa Dar naona ni wengi sana.Ajabu ni pale tena watu wameambiwa wasijifungie watakufa njaa!

Ee Mungu, tuhurumie wanao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Mkijifungia ndani mtakufa njaa" makonda jmos 4/4/2020
"Kuanzia jumatatu tutakamata wote wanaozurura' makonda 5/4/2020

Hivi naweza kutafuta kibarua bila kuzirura?

Hivi hili tamko si ni sawa na hali ya hatari?
Je RC ana mamlaka ya kutangaza hivyo?

Asanteni
 
Huyu Makonda ni mwehu kabisa. Jana anawaambia watu wasijifungie ndani watakufa njaa, Leo anawaambia usitoke nitajukamata maana unazulula!
Anawafedhehesha sana wenye msambwada kwani wote watafikiriwa kuwa akili zao ziko huko, unafahamuje kuwa huyu anazurula? Na huyu anashughuli maalumu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo hapo sasa anatuchanganya huyo Bashite

In God we Trust
 
Mbona ana mbwela mbwela sana.

Aondolowe latik kamati ya kupambana na Covid
 
Ukisikia kupatwa kwa jiji ndio huko
Hakika kuna kuchanganyikiwa.Hii heli si kawaida.Sijui ni kwa nini ila hali inaashiria dalili za kuchanganyikiwa.

Huku kuna wito wa kuwatoa mahabusu wanaodhaminika,hapo hapo kuna amri ya kukamata wazururaji ambao kwa Dar naona ni wengi sana.Ajabu ni pale tena watu wameambiwa wasijifungie watakufa njaa!

Ee Mungu,tuhurumie wanao

Sent using Jamii Forums mobile app

In God we Trust
 
Kwa wana dar tuna mtihani mkubwa sana

Back
Top Bottom