Tueleze experience ambazo matokeo yalikuja tofauti kabisa na expectation zako

ngebo

JF-Expert Member
Sep 8, 2017
1,679
2,105
Unakuta ile situation labda umefanya mtihani ukaona hapa hapana lazima nitafanya vibaya ila matokeo yakija vitu vinakuwa tofauti hadi unashangaa imetokeaje , tuambiane hizo experience hapa ...
 
Dah cto kuja sahau mzee ilikuwa kidato cha sita baada ya paper nikajua nimealibu mtihani mawazo atari tokeo linakuja nina A ya ilo somo sikuamin kabisa adi leo uwa sielewi
 
Niliishangilia Simba SC dhidi ya wale jamaa wa Msumbiji nikitegemea itafuzu lakini matokeo yalinisikitisha sana!
 
Niliachana na mwanamke anayetoa papuchi nikiitaji, nikaenda kwa mwanamke ambae nilitegemea atakuwa zaidi nikakuta kuna ugumu mwingi katikati niluumia sana
 
miujiza hutokea mkuu labda ulikua unasali sana
Dah cto kuja sahau mzee ilikuwa kidato cha sita baada ya paper nikajua nimealibu mtihani mawazo atari tokeo linakuja nina A ya ilo somo sikuamin kabisa adi leo uwa sielewi
 
Unakuta ile situation labda umefanya mtihani ukaona hapa hapana lazima nitafanya vibaya ila matokeo yakija vitu vinakuwa tofauti hadi unashangaa imetokeaje , tuambiane hizo experience hapa ...
Huu uzi unawahusu sana wazee wa betting aka wazee wakuwekelea mzigo wazee wa over under na jackpot
 
Ilinitokea kwenye written interview kazi ambayo sikusomea nilipiga fresh,ikaja oral wakawa wananipiga maswali hata siyajui

Nikawaambia ukweli mesijasomea hizo mambo,..

Mwisho wa siku jamaa walinipa kazi.
 
Nilitegemea nikimaliza chuo nitapata kazi bila kuhaso, nimefika kitaa nakutana na kitu kinaitwa connection. Sina ndugu wala jamaa sehemu yoyote.Nimetuma maombi sehemu nyingi sijawahi kuitwa interview hadi nimekata tamaa.Mbele sioni kitu. Naamini mungu yupo lakini.
 
Haya ndo tunayopitia vijana wengi mtaaani Ila Mungu ni mwema tuendelee kupambana
 
umemaliza mwaka gani? jaribu kuomba hata kwenye viwanda kama cocacola etc au hata kaombe kufundisha shule uliyosoma secondary kama ulikua freshi na mkuu wenu ujibanze hapo kusanya hela zako weee utakachopata huko fanya ata kibiashara kidogo , au pia huwezi jua lolote linaweza tokea , don't settle for less jishushe hata ikiwezekana

Back
Top Bottom