Tuelezane uzuri, ubaya, faida na hasara za utumiaji wa 'Vumbi la Mkongo'

Mkuu mim pia natatizo kama lako nanimempata daktar flani yuko dar nkaongea nae kwakirefu na kumuonyesha vipimo nlikopita ila akanambiia misuli yngu itakua haipitishi damu vizur na itakua imesinyaa ambako hiki kitu nikama namm nimekihisi itakua kweli

maana kote nlikopita kwa madaktar hakuna aliewahi nambia hiko kitu zaid yakunipima nakunambia niko sawa ila huyu daktar nliempata sasa hivi naona kama yuko tofauti nawengne yaye naona kagundua kitu nachokihisi nakanambia itabid nifunge safar hadi Dar yeye mwenyewe anipeme kila kitu


Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo maana unashauliwa kufanya mazoezi na kufanya physical activities pale unapopata wasaa.
 
Umeelewa alichoandika mkuu??
Mkuu nimemuelewa, swala la misuli ya damu kubana ni mojawapo ya matokeo ya mlundikano wa mafuta mafuta katika mishipa ya damu, hivyo unavyofanya mazoezi na shughuli ngumu ngumu kwanza inapandisha kinga ya mwili na pia inafanya mafuta kuyeyuka kwenye misuli na kufanya damu isafili kwa haraka na kufika maeneo yote mwilini kwa wepesi pamoja na kwenye misuli ya uume hivyo kukupa uhakika wa kufanya tendo la ndoa kwa ufanisi.
 
Jamaa zangu kariakoo walinunua kuna mtu huwa anawapitishiaga ofisini kwao.

Kwa jinsi alivyokuwa anaielezea it seems hii vicks haina mambo mengi kama hizo vumbi etc
Unataka kunambia ni salama zaidi mkuu??
 
Unataka kunambia ni salama zaidi mkuu??
Hahahaha, simaanishi kuwa ni salama.

Unajua iko hivi, watumiaji wenyewe wanakwambia kila dawa ina namna yake ya kuitumia,kwa mfano; kuna ya kwanza wanasema ilikuwa unafunga kinailoni kwenye uume,

ikaja ilo vumbi sijui ukalainishe na maji bafuni na pia kuna moja ina masharti ya muda nadhani nusu saa kabla ya kukutana, sasa hizo zote ndio so called some kind of complication where by this single item so called "vicks" come to erase.
 
Kifupi uwezi enjoy sex na hayo makitu aisee...nishatumia mara mbili hivi baada ya ushawishi wa washkaji..unakuwa ka robot unatafuta goli upati sa mapenzi gani hayo..rahaa ya sex kukojoa banaa...
unamuhemea mtu masaa7 uko kifuani tu wakati unatakiwa dakika 45 wazungu waleeeeee na unaona mtoto amefurahi sana
 
Hahahaha,simaanishi kuwa ni salama.

Unajua iko hivi,watumiaji wenyewe wanakwambia kila dawa ina namna yake ya kuitumia,kwa mfano; kuna ya kwanza wanasema ilikuwa unafunga kinailoni kwenye uume,ikaja ilo vumbi sijui ukalainishe na maji bafuni na pia kuna moja ina masharti ya muda nadhani nusu saa kabla ya kukutana,sasa hizo zote ndio so called some kind of complication where by this single item so called "vicks" come to erase.
hapo nimeelewa sasa.. Kwahyo hiyo unanusa kama tumbaku tu inatosha😀😀
 
Mimi iyo hali ya shida ya nguvu za kiume nilikua nayo ila kwa sasa imeishaaa, USITUMIE VUMBI LA CONGO WALA DAWA YOYOTE YA KUKUBOST PLS UNAJIUWA KABISAAA,, NICHEKI WHATSAPP NIKUSAIDIE 0622338077, ACHANA NA DAWA KABISA
 
Back
Top Bottom