Tuelezane ukweli kuhusu Dawa za kuongeza uume

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
5,353
11,496
Jamani haya matangazo yamekuwa mengi sana kwenye mitandao. Dawa za kuongeza urefu na unene mpini. Kama huelewi kwa kiswahili tashdidu tunaita uume.

1. Je ni kweli zinafanya kazi?
2. Mabadiliko yanabaki permanent?
3. Nini side effects zake/madhara yake?
4. Hiyo nyama inayoongezea inatokea wapi?
5. Nguvu za kiume haziathiriki?

Je, ni wanawake wote wanapenda mpini mkubwa? Nmejiuliza haya maswali sababu naona kama eneo hilo serikali imelifumbia macho na matangazo yamekuwa mengi sana. Tupeane uzoefu jamani watu wasije wakaharibikiwa miaka ijayo.
 
Huwez kushindana na ulikotoka

JamiiForums715486502.jpg
 
Nimewah kusoma sehemu wanasema wanawake wanapenda kubwa just Mara moja moja tu sio kwa mahusiano ya kudumu kama yeye sehemu zake sio kubwa kivile.

Wanasema kubwa inaumiza so sio kitu atakachotaka aingiliwe nacho kila Mara

Tusubiri wenyewe waje waseme
 
Tatizo kubwa sasa hivi la nguvu za kiume ni diabetes 2 ama kisukari, msongo wa mawazo na punyeto iliyopitiliza.

Ukila vizuri tu kujiepusha na sukari na vyakula vya mafuta mafuta unaweza kutunza sana nguvu zako za kiume.

Mfano viagra inaweza isifanye kazi kabisa ukiimeza kama umeshatoka kula. Viagra inafanya kazi kwa ufanisi sana kama una njaa (empty stomach) kwa wale wenye shida ya nguvu ya kiume.

Kuna hili dude linaitwa penis pump. Linasaidia kudindisha mjolobe kwa wale wenyewe shida ya nguvu ya kiume. Ukisha pump gegedo linasimana nusu saa.
21684-mr.-membr-penis-pumpe-med-trykm_ler-q100-02.jpg


Pia kuna njia nyingine ya opereshen ama surgery. Wanasimika bomba kwenye mishipa ya poumbu na gegedo. Ukifanyiwa hii opereshen utadindisha hadi utakapokufa. Wataalamu hawashauri ufanye hii
 
Hii ya kufanyiwa surgery ama operation udindishe ni hatua ya mwisho kabisa. Kuna elastic tube inaunganishwa na mishipa ya poumbou na gegedo ili kusambaza damu hili mjolobe Udinde.
Ukifanyiwa hii operesheni ujue utadindisha mazimaa hadi mauti permanent erection.


Hakuna kuvaa boxer tena wewe ni chupi za kubana tuuu. Madaktar bingwa wa upasuaji wa hili n8 vigumu sana kukubalia hadi njia zote mbadala kushindikana.

Pia dawa za kudindisha kina viagra na cialis zinategemea na mwili na reaction za mtu. Viagra inafanya vizuri ukiwa na njaa au hujala empty stomach na nguvu yake hudumu masaa manne. Cialis inadumu masaa 36 na inafanya kazi vizuri uwe umekula na kushiba au la.

Onyo ya iyo video hapo chini ya surgery ya gegegdo wanavyosimika mabomba
 
Hii ya kufanyiwa surgery ama operation udindishe ni hatua ya mwisho kabisa. Kuna elastic tube inaunganishwa na mishipa ya poumbou na gegedo ili kusambaza damu hili mjolobe Udinde.
Ukifanyiwa hii operesheni ujue utadindisha mazimaa hadi mauti permanent erection.


Hakuna kuvaa boxer tena wewe ni chupi za kubana tuuu. Madaktar bingwa wa upasuaji wa hili n8 vigumu sana kukubalia hadi njia zote mbadala kushindikana.

Pia dawa za kudindisha kina viagra na cialis zinategemea na mwili na reaction za mtu. Viagra inafanya vizuri ukiwa na njaa au hujala empty stomach na nguvu yake hudumu masaa manne. Cialis
Masaa manne tu!! Kwahiyo demu akitaka ukeshe nae itakulazimu kunywa mara 2?
 
Kuhusu kuongeza ukubwa kuna masai anasema dawa anayo ila inaongeza inchi moja urefu na mzunguko pia ni inchi moja sio zaidi ya hapo, sasa watu wanataka ziwe kubwa hao wamama hawasemi wanapendelea mboo iwe na ukubwa saizi gani
 
Back
Top Bottom