Tuelezane namna ya kutotolesha mayai kwa kutumia pumba

Feb 25, 2019
25
45
Naomba kwa mwenye ujuzi na huu utaalamu wa kutotolesha mayai kuku kwa kutumia pumba
maana ni tegemeo langu kuwa kuna wataalamu weng kwenye masuala ya ufugaji

Asante
 
Nasikitika

Member
Sep 11, 2021
23
45
Naomba kwa mwenye ujuzi na huu utaalamu wa kutotolesha mayai kuku kwa kutumia pumba
maana ni tegemeo langu kuwa kuna wataalamu weng kwenye masuala ya ufugaji

Asante
Kwa utaalamu nilio kuwa nao kidogo nilikuwa nafuga kuku na hutaga mayai mengi ila alikuwa hatotoi nikawa nafanya hvi. Akitaga mayai nayachukua na weka kwenye ndio au Jana na weka na pumba maana pumba huzalisha joto jigi inapelekea kutoto kwa mayai Yale Baada ya siku 21
 
Tuna

JF-Expert Member
Jan 21, 2019
814
1,000

Mayai unayaweka kwenye ndio au jana
 
Miguel Alvarez

JF-Expert Member
May 28, 2019
519
1,000
Mkuu ebu fafanua kidgo au hazina nyama sasa vifaranga ndani ya jumba sio vitakufa
Kwa utaalamu nilio kuwa nao kidogo nilikuwa nafuga kuku na hutaga mayai mengi ila alikuwa hatotoi nikawa nafanya hvi. Akitaga mayai nayachukua na weka kwenye ndio au Jana na weka na pumba maana pumba huzalisha joto jigi inapelekea kutoto kwa mayai Yale Baada ya siku 21
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom