Tuelezane changamoto na namna ya kuzitatua wakati wa ku-update BRELA Online

Nyumbalao

JF-Expert Member
Jan 10, 2014
438
500
Wanajamvi habari za jioni

Ni karibu mwaka sasa tangu BRELA wahamishe mfumo toka wa manual kwenda kwenye mtandao sasa sisi tunaotoa huduma kwenye mambo haya ninataka kuchangia kidogo kwenye jamii kama unachangamoto unaweza kuweka hapa au pm nasi tutakusaidia.

Kwa kadiri tuwezavyo
 

kkenzki

JF-Expert Member
Oct 27, 2012
1,317
2,000
Kubadili email ya kampuni asee, mbona ni shida ivyo

Sent from my SM-A605G using Tapatalk
 

Nyumbalao

JF-Expert Member
Jan 10, 2014
438
500
Ni kweli kuna uchelewashaji wakati mwingine ni mgumu sana kuweza kuutetea ila nilikuwa napenda tusaidiane humu ili tuweze kuwa na suluhisho kwenye changamoto za hili swala katika kufanya shughuli zetu. Naamini kwa pamoja tunaweza
OK. But tunateseka. Tuahitaji kuichangia mapato serikali, lakini serikali haitaki. Haya ni maajabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

ruhi

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
2,353
2,000
Nililipa hiyo fee ya 20000/ kama new registration ya kampuni name lakini kila siku wananiambia nibadilishe jina...nikibadilisha jina na kuangalia majina yanayofanana wala hazifanani kwa vile. Tokea mwaka jana August adi sasa. Nawaona Brela kama wapuzi flani hivi.
Nikaenda adi hapo Brela ofisini Posta lakini nikapata majibu ya kipuuzi kweli.
Nikaenda kwenye komputa zao hapo nikakuta kuna vijana wawili na komputa zipo zaidi ya 20 na wateja ni wengi wahudumu wa hizo computa ni wawili bado wanaleta upuzi hawa Brela.
Ilibidi nirudi tu mkoani bila jukanilisha usajili...juzi kati hapa ndoa wananitumia sms kua account hii itafutwa usipofanya marekebisha. Nikaingia nikafanya walivyosema bado upuuzi tupu ....simu ukipiga hazipokelewi.

Brela wabadilike jamani. ..Brela wanatengeneza nhia ya kutaka washikishwe pesa ndo watoe hizo kazi. Tutaingia hapo ofisini very soon ...mtashikishwa pesa za rangi shauri zenu
 

STUNTER

JF-Expert Member
Dec 15, 2015
13,538
2,000
Sehemu ya ku- upload form no 6 please? Baada ya kuijaza unaituma sehem gani?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom