Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,286
- 4,493
Aliyeweka hii thread ni Rev Masanilo au Mwiba? Naona kama naota.
Mwiba huyo ameandika kwa hisia kali sana! Juzi alikuwa anakejeli eti CHADEMA ifutwe, Mara CDM wawashukuru Polisi
Aliyeweka hii thread ni Rev Masanilo au Mwiba? Naona kama naota.
mm nna wasi wasi huyu jamaa na yeye katutega, sijui anakusudia kusukuma kete gani baadae
mie nnaangalia kwa makini tusimpe nafasi akitula tatu hadi kingi
You had the right to thanked him for what he wrote and it doesn't matter if he is after!(kiintelijensia)inawezekana anatafuta za kiintelijensia.
.somebody to teach me how to deactivate my 'thanks' on his post