Tudhamirie sasa kumtaja taja adui yetu mkuu.tusilaumiane sana sisi kwa sisi tu

Rwaz

JF-Expert Member
May 3, 2013
1,957
3,301
Nashukuru Mungu na wadau kwa uwepo wa hili jukwaa huru.

Zama za kukaa na wazee wetu tukauliza na kujibiwa mambo ya hekma na busara zinazid kuyeyuka. Tunakosa mengi.

Badala ya kuishi kwa furaha ya asili, Tukacheka, kula na kunywa sasa dunia inatupeleka kwa gia ya hao wanaoiendesha.

Leo niseme la moyon kuwa matatizo mengi tunayokabiliana nayo leo ni mkono wa mwanadam fulani.
Sasa tukubaliane kumsema sema adui yetu vizaz na vizazi.
Unapokutana nae pia ajue yeye ni kiumbe mbaya sana duniani.
Vizaz vyetu vimjue kwa ubaya wake unaotokana na tamaa zake.

Tunaletewa magonjwa(HIV, ebola, corona n.k)tunapambana kulaumiana bila kumlaan mletaj wa magonjwa. Had tunashindwa kumsaidia kiongoz wetu katika mapambano. Tusisahau hatuwez kupambana nje ya silaha tulizonazo.

Ndo mana hata kiongoz akishaur barakoa za nje msitumie mana ana siri nying za adui yetu hatupat picha kwa nguv ile ile anayomaanisha.

Kisa hatujataka kumtambulisha adui rasmi tumuepuke KWA AKILI.

Tunabadilishiwa mifumo bora ya kuishi kiasilia duniani bado tunapambana kuwa mtumwa wake kwa roho yake mbaya na hatumtaji kama adui wa dunia.

Anajifanya yuko na wewe kwenye msiba aliomuua marehemu.
Anatoa msaada wa elfu baada ya kukuibia milioni.
Hata kama ana nguvu hatuna adhabu ya kumpa lakini vizazi na vimjue kwa rangi yake.
inauma mtu kukuibulia tatzo ili umuuzie chako alimalize. Akutawale.

Kumtaja taja kuanzia kwa watoto hadi vizazi itasaidia kurudi kwenye asili yetu. Kutoamin vitu vyake kwa matumizi. Kujikinga na unafik wake. Na ikibidi kumchukulia kama nyoka wa dunia anapokuwa. Atuwinde akijua tunamuwinda.

Walau afanikiwe dhuluma kwa maguvu yake lakini akose amani ya nafsi.

Mfano kizazi cha kipalestina wanamjua adui yao mkuu.

SASA TUMTAJE ADUI WA DUNIA!
 
Yote yalitabiriwa katika vitabu vitakatifu. Sisi ni Nani hata tubadirishe Hali?
Mshike Mungu Sana ili usiwe miongoni mwa wale watakaokuwa na roho chafu mbele zake.
 
Yote yalitabiliwa hakika mambo yote yatapita ila Neno la Mungu litadumu. Mungu ni mkuu.
Sali sana. Tubu ukamrudie Mungu na ishi kumpendeza Mungu.
 
Lile andiko wa kwanza atakuwa wa mwisho na wa mwisho atakuwa wa kwanza naliona linaanza kutimia , wa kwanza anaanguka taratibu na wa mwisho anainuka taratibu kikubwa Mungu daima humnyanyua anayemtafuta kwa bidii wao mababu zao ndio walimtafuta Mungu wamebaki kwenye masanamu mitaani huku kwetu ni real saa 10:30 unaanza kisikia swalaa swalaa amka usali mara huku wengine ibada,semina na mikesha Mungu anaona , tuzidi kumghangania Mungu tulidhishe vizazi vyetu imeanza kutulipa na itatulipa zaidi
 
Back
Top Bottom