TUCTA yawakingia kifua wadaiwa HESLB

Rutaca

Member
Nov 13, 2014
94
236
Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (Tucta) limetoa siku 14 kwa Serikali kuwarejeshea wafanyakazi fedha za mikopo ya elimu ya juu wanazokatwa kimakosa vinginevyo watafanya uamuzi mgumu.

Akizungumza leo (Jumanne) Rais wa Tucta, Tumaini Nyamhokwa amesema wafanyakazi hao waliingia mkataba na Bodi ya Mikopo ya wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) ya kukatwa asilimia nane.

Amesema baada ya sheria mpya iliyopitishwa Agosti 2016 imebadilisha na sasa wanakatwa asilimia 15 bila kujali walikopa lini mikopo hiyo.

"Tunataka waliokopa kabla ya kupitishwa sheria hii waendelee kukatwa asilimia nane na siyo asilimia 15 wanayokatwa" amesema.
 
Walikuwa wapi mpaka imeshakuwa sheria Mahakama yenyewe haina uwezo wa kubadili sheria hata nukta mpaka Bunge
 
Ingekua wadanganyika wanavalia njuga ishu za muhimu kama hizi sawa sawa na vile wanavyokomalia ishu zisizo na maana kama vile vyeti feki vya Davido,hakuna mwanasiasa au idara ya level yoyote ile ingethubutu kutuletea uduwanzi au ubabe wa kindezindezi.
 
Akizungumza leo (Jumanne) Rais wa Tucta, Tumaini Nyamhokwa amesema wafanyakazi hao waliingia mkataba na Bodi ya Mikopo ya wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) ya kukatwa asilimia nane.

Amesema baada ya sheria mpya iliyopitishwa Agost 2016 imebadilisha na sasa wanakatwa asilimia 15 bila kujali mikopo hiyo walikopa lini, "Tunataka waliokopo kabla ya kupitishwa sheria hii waendelee kukatwa asilimia 8 na sio asilimia 15 wanayokatwa" alisema
Kauli hii ni nyepesi mno kwani kusema tu ni sawa na kutoa maoni ambayo si lazima yazingatiwe km wapo serious wangesoma sheria ya awali waone km hakuna kipengele kinachosema makato yanaweza kubadilishwa bila mkopaji kushirikishwa na akatakiwa alipe bac waende mahakamani si wanamapesa ya michango ya wanachama waweke wakili mzuri ambaye atawashauri km kuna chances za kushinda bac wajichukulie ujiko kwamba wamewatetea watu wao. Hayo yaliyosemwa ni maneno tu waweke muziki.
 
TUCTA ndio nini?? mbona kilishafifia toka jk alipotoka madarakani ?
 
Akizungumza leo (Jumanne) Rais wa Tucta, Tumaini Nyamhokwa amesema wafanyakazi hao waliingia mkataba na Bodi ya Mikopo ya wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) ya kukatwa asilimia nane.

Amesema baada ya sheria mpya iliyopitishwa Agost 2016 imebadilisha na sasa wanakatwa asilimia 15 bila kujali mikopo hiyo walikopa lini, "Tunataka waliokopo kabla ya kupitishwa sheria hii waendelee kukatwa asilimia 8 na sio asilimia 15 wanayokatwa" alisema
Hatutaki msaada wenu mtuache na maisha yetu!
 
Akizungumza leo (Jumanne) Rais wa Tucta, Tumaini Nyamhokwa amesema wafanyakazi hao waliingia mkataba na Bodi ya Mikopo ya wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) ya kukatwa asilimia nane.

Amesema baada ya sheria mpya iliyopitishwa Agost 2016 imebadilisha na sasa wanakatwa asilimia 15 bila kujali mikopo hiyo walikopa lini, "Tunataka waliokopo kabla ya kupitishwa sheria hii waendelee kukatwa asilimia 8 na sio asilimia 15 wanayokatwa" alisema
Wanaomba tena!!! Au mnatakata... Mbona watanzania tunakuwa waoga kudai haki zetu??
 
Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (Tucta) limetoa siku 14 kwa Serikali kuwarejeshea wafanyakazi fedha za mikopo ya elimu ya juu wanazokatwa kimakosa vinginevyo watafanya uamuzi mgumu

Akizungumza leo (Jumanne) Rais wa Tucta, Tumaini Nyamhokwa amesema wafanyakazi hao waliingia mkataba na Bodi ya Mikopo ya wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) ya kukatwa asilimia nane.

Amesema baada ya sheria mpya iliyopitishwa Agosti 2016 imebadilisha na sasa wanakatwa asilimia 15 bila kujali walikopa lini mikopo hiyo.

"Tunataka waliokopa kabla ya kupitishwa sheria hii waendelee kukatwa asilimia nane na siyo asilimia 15 wanayokatwa" amesema.
 
Rais aliyepita(kabla ya huyu) aligombea ubunge kupitia CCM akiwa bado rais wa TUCTA.

Hiki ni chama cha hovyo kabisa.

Badala ya kwanza na mashinikizo kuhusu kutopandishwa madaraja,wanahangaika hamgaika tu.

Wayatolee ufafanuzi kwa pamoja mambo yote ya wafanyakazi,hasa uonevu wa wakuu wa wilaya,mikoa
 
Back
Top Bottom