TUCTA yapata mbunge viti Maalum kupitia UWT-CCM

29 November 2020
Dodoma, Tanzania

UFUNGUZI MKUTANO KAMATI ZA JUMUIYA ZA CCM


Ukumbi wa Halmashauri Kuu ya CCM Dodoma.

Katibu Mkuu wa CCM Dr. Bashiru Ally Kakurwa atoa pongezi kwa wabunge wote waliteuliwa kupitia Jumuiya zake za UVCCM, UWT, WAZAZI, TUCTA na kuwataka waende kuiwakilisha CCM vizuri ngazi za ubunge wa kuteuliwa, ubunge viti maalum na uwaziri SMZ.
 
Ktk zama za chama chakavu kinachodai ni kipya kila kitu kinawezekana
Huyu ni mbunge wa ccm na sio wafanyakazi
Haiingii akilini eti mbunge mwakilishi wa wafanyakazi anapigiwa kura za kuteuliwa na UWT DSM ambao wengi hata sio wafanyakazi
Na pia katiba za vyama vya wafanyakazi zinaeleza wazi kwamba hakitakuwa na political affiliation
Yaani hili linchi la kikuuma Sana
Vitu vingine haviingii kabisa akilini
Ubunge wa huyu mama ukienda kuwa challanged mahakamani na mahakama ikawa fair ubunge wake unakuwa null and void
Haikubaliki eti mbunge kuwakilisha wafanyakazi apitishwe na UWT na sio TUCTA
Huyu aseme ni mbunge anayewakilisha wafanyakazi ambao ni wana ccm ila sio wafanyakazi wote Tanzania
TUCTA imetumika kisiasa kwenye hili wakati katiba ya TUCTA inaelekeza kabisa kwamba haitajihusisha na mambo ya siasa
 
Mfumo Kristu huo. Wanasubiri aje rais Muislam watoe matamko na vitisho. Makasisi na Maaskofu nao waamke na matamko

Sasa hv vijana wa altareni huwezi kuwasikia.

Kwa maana hiyo TUCTA ni tawi la CCM. Wafanyakazi kuna kila sababu ya kuangalia kama kuna ulazima wa kuwa mwanachama wa vyama vyenye mafungamano na TUCTA
Dini haitokupeleka mbinguni. Hili si jukwaa la dini
 
Back
Top Bottom