Tucta mpo wapi? No January Salary!

Msharika

JF-Expert Member
May 15, 2009
947
69
NIMESIKITISHWA SANA NA UKIMYA WA VIONGOZI WA TUCTA. MPAKA SASA WAFANYA KAZI WA SERIKALI NA TAASISI ZAKE AWAJAPATA MSHAHARA WA JANUARY. JE FEBRUARY WANAENDA KAZINI KWA BUDGET GANI? AU NDIO NJIA YA KUPUNGUZA WATAKAO SHINDWAA KUFIKA JOBU KWA KUKOSA NAULI.

JANUARY NI MWEZI MGUMU SANA KWA WAFANYAKAZI WA SERIKALI, SCHOOL FEES NA KODI ZA NYUMBA ZINAMALIZA SANA NA HATA WENGINE WANAMIKOPO MABENKI NA SACCOS, MAREJESHO YAKICHELEWA NA INTEREST INAONGEZEKA, NANI ATAWALIPIA?

TUCTA ANZISHENI MAANDAMANO NCHI NZIMA.

:puke:
 
Hao waliokosa mshahara wa january ni wa mkoa gani?mbona huku kwetu kusini tumepata tangu tarehe 28!all in all TUCTA hawana meno,wameshakuwa kama nyoka wa kibisa,wahuni tu!
 
Bado January haijaisha. Au wewe una january yako Tofauti? Halafu mbona huku kwetu tumeshadakishwa tangu alhamis.
Yes VUVUZELA AND ZEZETA at work.
 
Yaani jamani unanitonyesha kidonda,coz mpaka leo hatuja ambulia kitu wakti ilikuwa tar 25 mambo yanakuwaga shwari ila
mwaka huu mmh unavyoanza unanipa wasiwasi.
 
Wala usiulize tucta muu hao jamaa washafungwa midomo hawafurukuti. Nadhani walitishiwa na kuamua kujiunga na mabosi wao!
 
Wengine mbona tayari...!! AU wameanza na zile idara nyeti kwanza kama afya na elimu caz nackia hazina kumekauka..!! Mgaya kashachakachuliwa though...!!
 
Tucta walituambia wapo kwenye maandalizi ya maandamano kuhusiana na kupinga ongezeko la gharama za umeme lakini cha kushangaza hawatuelezi chochote kinachoendelea huku tar.ishapita iwapo TUCTA mtashindwa kufanikisha hili basi mjue Wafanyakazi tunaanzisha movement yakuwapinga nyie pa1 nakupinga kukatwa ela zetu kwa ajili ya hilo lishirikisho ambalo halina faida yoyote kazi kupiga propaganda tu kama Hizza na Makamba kajiungeni nao basi coz kazi ya kutetea maslahi ya wafanyakazi imewashinda,au kwa sababu asilimia yenu mnayokata ipo palepale
 
Back
Top Bottom