fullcup
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 806
- 2,182
Wapambane ifike 4 tu kwanzaWe unapendekeza shi ngapi mkuu?
Wapambane ifike 4 tu kwanzaWe unapendekeza shi ngapi mkuu?
Kwahiyo hutaki mshahara upande ? Kila mmoja alie na lake waacheni watoto wa watu waombe jasho laoWatumishi wa umma wanajiona kama wapo wenyewe tu sijui hawajui ni 0.6% ya raia wote? Huu upuuzi wa kudai laki 9.7 ni Seriikali gani hii itakayolipa hyo pesa? Hv wanajua impact ya mshahara kupanda huku mitaani ?
Uwanja CCM KIRUMBA siyo ukumbi wa CCM KIRUMBAKaimu Katibu Mkuu wa TUCTA amesema wamefanya tafiti kubaini kiwango cha mshahara ambacho kinaweza kumtosha mtumishi kuendesha maisha yake
Kutokana na Tafiti yao wamependekeza kiwango cha chini mshahara kiwe Tsh. 970,000 kutokana na gharama za maisha za sasa
Hayo yamesemwa siku ya maadhimisho ya siku ya wafanyakazi ambayo kitaifa yamefanyika katika ukumbi wa CCM Kirumba Mwanza
Kama wabunge wanavuta million 14 inashindikanaje kwa mtumishi.
Hawakatwi kabisa!14,000,000 tena isiyokatwa kodi au siku hizi wanakatwa PAYE?
Walikuwa wanataka 315,000Waliwahi kupambania sh 350,000 ndo iwe kima cha chini kwa miaka takribani yote ya Mkwere, wakashindwa. Ebu fikiria walishindwa kumshawishi mkwere kuidhinisha hiyo 350,000, kwa jiwe walipendekeza kweli? Ngapi?
970,000 kwa mtu wa idara gani sasa? Wakisema Tanesco, sitashangaa ila wa wizarani nitasita kidogo.
Waache kuwaibia wafanyakazi, watengeneze tu chama cha siasa
Asante kwa masahihisho mwamba, nimepokea taarifa.Walikuwa wanataka 315,000
Bidhaa zinazidi kupanda Bei.Mshahara haijawahi kutosha hata siku moja
Wafanyakazi wameharibwa akili wajione maskini.
Ukienda TANESCO, NSSF, BOT, PSSSF, TIC, TANROADS mshahara wa 970,000 analipwa mfagizi/mhudumu wa ofisi.
Waaalimu na wafanyakazi wengine wa Halmashauri waliharibiwa sana akili zao na CCM ili wajione wanyonge. Ndio maana wanarogana kisa kwenda kusimamia na kusahihisha mitihani.
Msechu pale NHC alikuwa anapokea milioni 30 kwa mwezi bado posho n.k hadi JPM akaona wivu akamtimua. Wabunge milioni 13 kwa mwezi na ni watanzania kama sisi.
Huyu nae ni mweu tu,hizo pesa zitoke wapi?Kaimu Katibu Mkuu wa TUCTA amesema wamefanya tafiti kubaini kiwango cha mshahara ambacho kinaweza kumtosha mtumishi kuendesha maisha yake.
Kutokana na Tafiti yao wamependekeza kiwango cha chini mshahara kiwe Tsh. 970,000 kutokana na gharama za maisha za sasa.
Hayo yamesemwa siku ya maadhimisho ya siku ya wafanyakazi ambayo kitaifa yamefanyika katika uwanja wa CCM Kirumba Mwanza.
View attachment 1770128
Pia soma: LIVE - Mei Mosi Mwanza: Rais Samia ahutubia, aahidi kuongeza mishahara kuanzia mwakani
Upo Europe Nchi gani Mkuu?EVEN HERE AT EUROPE WE ARE PAID HIGH BUT ALSO LIVING COST ARE HIGH SALARY WONT EVER BE ENOUGH,
*Tuongeze mshahara pia tupandishe petrol na diesel kidogo, intelligent know how to fix it.
Spain,illusions salaryUpo Europe Nchi gani Mkuu?