TUCTA Ianzishe tuzo maalum itakayoitwa "Tuzo ya Patrick Mfugale"

Hiki ulichosema hapa ni kama zile ahadi watu hutoa siku wakifiwa na rafiki zao. Hapo msibani kwa ajii ya hisia utasikia mwingine anasema atasomesha watoto wa marehemu, mwingine nitamalizia nyumba ya marehemu. Lakini baada ya muda hizo hisia zikiisha hizo ahadi hazitekelezeki. Hata wewe hii post yako ni hisia ya sifa za leo ulizosikia kwa Mfugale. Wenyewe huwa mnaita siasa za matukio.
ni hisia inayoweza kufanyiwa kazi pia.
 
Kuna ombwe la jinsi gani Watumishi wawe wa umma au binafsi wapongezwe na kutambulika kutokana na juhudi zao makazini.
mara nyingi tunaishia kuwapa fedha kiduchu,mifuko ya saruji na mabati.

Nashauri TUCTA ije na njia nyingine ya kumotivate watumishi kwa kuanzisha tuzo maalumu kwa watumishi wenye mchango wa kutukuka katika ujenzi wa Taifa.

napenda kushuhudia mtumishi mchapakazi mmoja anapata tuzo maalum kwa kuanzia iitwe tuzo ya Patrick Mfugale.

Nawasilisha kwa majadiliano.

KWA HISANI YA WATU WA TANZANIA!
Motivation haiji tu kwa tuzo.. lakini pia kuwatengenezea wafanyakaz mazingira mazuri, kuwaongeza mshahara.
Pale wanapo staafu wakipwe stahiki zao kwa wakati.

Kisa jamaa kafanya vizur ndio iwe style mpya hapana. Apongezwe tu lakini si kwa kutukuzwa.
Nyuma yake kuna wahandis, mafundi ambao walifanikisha kazi, na wao wakitaka tuzo itakuwaje?
Sipingi ila iwe chachu kwa wafanyakaz wengi e kufanya kazi kwa bidii
 
sidhani kama kuna siku mishahara itahesabika kama inatosha...yapo mengi ya kujifunza nyuma ya historia ya Mfugale.
 
Vipi kuhusu tuzo hizo akipewa azam maana nyie wa dar anawapa support kila kona na kila siku hadi leo
 
Hiyo ni kazi yake alisomea ili afanye hivo sasa kitendo cha kuhusika kina maajabu gani wakati kazi inamuhusu .....kama tuzo zingetolewa namna hio basi hata dereva alieendesha magari mengi nae apewe tuzo
 
Kuna ombwe la jinsi gani Watumishi wawe wa umma au binafsi wapongezwe na kutambulika kutokana na juhudi zao makazini.
mara nyingi tunaishia kuwapa fedha kiduchu,mifuko ya saruji na mabati.

Nashauri TUCTA ije na njia nyingine ya kumotivate watumishi kwa kuanzisha tuzo maalumu kwa watumishi wenye mchango wa kutukuka katika ujenzi wa Taifa.

napenda kushuhudia mtumishi mchapakazi mmoja anapata tuzo maalum kwa kuanzia iitwe tuzo ya Patrick Mfugale.

Nawasilisha kwa majadiliano.

KWA HISANI YA WATU WA TANZANIA!
Nawewe tukuanzishie tuzo iitwayo JINGALAO
 
Inategemea!kama mchango wangu JF ni wa kutukuka basi moderators wanaweza anzisha tuzo ya JINGALAO.
Mfano badala ya kuitwa JF EXPERT MEMBER Ukapewa tuzo ya JINGALAO JF.
 
Kutukuka kwa ujinga

Hakuna hamasa nzuri kwa kila mfanyakazi kama ongezeko la mshahara hii ina tija mno, bila ya hii hata uweke tuzo ya nani haitaleta mantiki.

Juhudi ya kazi inathaminishwa na msharaha na stahiki nyingine, ukimpa mtu mshahara mzuri na kuangalia mslahi yake kikamilifu na sio eti anafanya kazi halafu mishara yake na stahiki zake hapati zote ama hapati kwa wakati na hata akipata hakuna ongezeko unafikiri itasaidinia nini tuzo ya Mfugale?

Kipaumbele chetu kwa sasa sio tuzo bali tuboreshe maslahi ya wafanyakazi.
 
Kahusika kwenye ujenzi wa madaraja yasiyopungua 1000 nchini Tanzania. yaani wastani wa madaraja 25 kwa mwaka kwa miaka 40....ni kazi iliyotukuka.
Sasa hapo cha ajabu ninini,hiyo si ni mkataba wa kazi yake alipo ajiriwa?
 
Back
Top Bottom