jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 35,053
- 28,245
- Thread starter
- #21
ni hisia inayoweza kufanyiwa kazi pia.Hiki ulichosema hapa ni kama zile ahadi watu hutoa siku wakifiwa na rafiki zao. Hapo msibani kwa ajii ya hisia utasikia mwingine anasema atasomesha watoto wa marehemu, mwingine nitamalizia nyumba ya marehemu. Lakini baada ya muda hizo hisia zikiisha hizo ahadi hazitekelezeki. Hata wewe hii post yako ni hisia ya sifa za leo ulizosikia kwa Mfugale. Wenyewe huwa mnaita siasa za matukio.