TUCTA hawako Sereous!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TUCTA hawako Sereous!!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mr. Zero, Jan 28, 2011.

 1. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #1
  Jan 28, 2011
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,508
  Likes Received: 2,750
  Trophy Points: 280
  Wakati huo huo, maandamano ya Tucta yaliyotarajiwa kufanyika Januari 29 mwaka huu yameahirishwa hadi Februari 12 mwaka huu.

  Hatua hiyo inatokana na Shirikisho hilo kushindwa kurekebisha mambo muhimu kabla ya kufanyika kwa maandamano hayo. “Tumeahirisha maandamano hadi Februari 12, mwaka huu, lengo ni kusubiri barua ya polisi kwa ajili ya kuomba kibali cha maandamano hayo,”alisema (Nicolus Mgaya).

  Source: Mwananchi
  Hivi hwa TUCTA wako sereous kweli?? Au ndiyo siasa za bongo tena??? Hivi si sasa wote tunajua kuwa katiba haituhitaji kupomba kibali cha maandamano police bali kuiomba police ilinde usalama. Sasa hii ya kututangazia wanaandamana one month a go halafu dakika za mwisho wanasema wanagoja kibali sijui wanamaana gani?? Kwani Tanesco wamepunguza gharama au mgao wa umeme??
   
 2. F

  Froida JF-Expert Member

  #2
  Jan 28, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Hawana lolote hao huyo Mgaya alisha nyweshwa maji ya Kijani usitegemee kuna utetezi kwa wafanyakazi na wanachi kwa ujumla kutoka TUCTA,ni uji uji tuu
   
 3. BULLDOZZER

  BULLDOZZER Senior Member

  #3
  Jan 28, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 103
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwanzoni alikuwa mkereketwa wa Chadema alikini baada ya kujua Serikali ipo na inafanya kazi amenywea. Asije akaimba wimbo asioujua kama akina yakhe pale Atown.
   
 4. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #4
  Jan 28, 2011
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Wameshakuwa Kichambo hao achaneni nao watatuwekea usiku
   
 5. k

  kilolambwani JF-Expert Member

  #5
  Jan 28, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 395
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nguvu ya soda. Yuko mama Sita aliyeingia bungeni kwa tiketi ya TUCTA, alipiga kelele sana kwa serikali akiwa Mwenyekiti wa TUCTA, alipoingia bungeni wakamziba mdomo kwa kumpa uwaziri. Haki tutapigania wenyewe, TUCTA ni kama CCM tu maneno matupu.
   
 6. K

  KISOSORA Member

  #6
  Jan 28, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mama SITA Aliwahi kuwa raisi wa chama cha walimu[CWT] na si Tucta.
   
 7. M

  Mfwatiliaji JF-Expert Member

  #7
  Jan 28, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,325
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Tunaendelea kuwajua wazalendo dhidi ya wasanii..
   
 8. Mlangaja

  Mlangaja JF-Expert Member

  #8
  Jan 28, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 541
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Inaniuma sana, tunapelekwa kama wenda wazimu tu. Nyerere aliwahi kusema mtu anaongea na mke wake usiku halafu anakuja kutangazia umma maongezi yao. Huu ni upumbavu kabisa. Wawe makini kwani wanaweza kusababisha maafa makubwa sana hawa. Wasifikiri uhai wa mtu ni kitu cha kucheza nacho tu. Hawajua kwamba kuna watu wanateseka kwa makosa yaliyofanywa na mababu zao miaka 1000 iliyopita. Uhai wa mtu ni tofauti na uhai wa vitu vingine.
  Je kama sehemu nyingine hawatapata taarifa hizi na wakafanya maandamano je nani atawajibika? Hebu Mgaya akome bwana!
   
Loading...