Tuchunge kauli juu ya wanawake.

Mugo wa kibilo

Senior Member
Oct 13, 2012
175
72
kulikuwa na mjadala mahali kuhusu wanawake,kuna jamaa akasema wanawake ni wagumu kuelewa na wapumbavu. Kuna mtu mwingine akamuuliza kwaiyo hata mama yako yuko hivyo? Ikawa ugomvi mkubwa sana.sasa tuchunge sana kauli juu ya wanawake.

Unajua hata kama mwanamke ni kichaa lakini ni mama wa mwenzio.
 
Back
Top Bottom