Tuchemshe bongo kidogo hapa

mind ur business

JF-Expert Member
Dec 27, 2018
416
414
*UMEMUAGA mkeo unaenda kazini, ukapita kwa mchepuko wako, wakati unajimwaya-mwaya na mchepuko, mume wa mchepuko akagonga mlango, ikabidi ufichwe uvunguni mwa kitanda. Wakati bado upo uvunguni ka mchepuko kakamuaga mume wake kwamba, kanaenda saloon, mume wa ka-mchepuko naye akaona ndo muda wa kuita mchepuko wake, akauita ukaja, wakajimwayamwaya kwa sana muda huo wee bado upo uvunguni. Mara mchepuko wako akarudi kutoka saloon, akagonga mlango, ikabidi mume wa mchepuko wako aufiche uvunguni mchepuko wake. Kucheki hivi kumbe mchepuko wenyewe ndo mke wako uliyemuaga unaenda kazini, kwa hiyo wewe na mke wako wote mkawa mmefichwa uvunguni...Ukisikia vita ya tatu ya dunia, ndo hii sasa.😂😂

Hapo mkuu utafanya nini, toa wazo lako tafadhali.

Povu ruksa..

Stay home, be safe.
Corona inaua take care!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kama mpira wa simba na yanga mnakubaliana kubadilishana magori
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom