Tuchangie maandamano ya Chadema Kutetea maslahi yetu wananchi!

Revolutionary

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
456
86
Sijajua Chadema wanadhaminiwa na nani katika kufanikisha maandamano ya wananchi yanayoendela. Naamini Chadema kinahitaji nguvu ya kutosha kufanikisha hili kwa maendeleo yetu na nchi yetu.nadhani kuna haja ya kimsingi sisi wananchi kuchangia kuwawezesha viongozi hawa waweze kufanikisha elimu hii ya uraia na vita hii ya kimapinduzi katika kutetea maslahi yetu.

TUKIWEZESHE CHAMA (KI-FEDHA, MALI, NGUVU KAZI, FIKRA N.K) KAMA ILIVYOKUWA KATIKA UCHAGUZI MKUU 2010!

KAZI WANAYOFANYA VIONGOZI WA CHADEMA SIO YA KWAO PEKE YAO, NI YETU SOTE.

HATA KAMA WEWE SI MWANACHAMA (KAMA MIMI), CHADEMA INATETEA MASLAHI YAKO! IT IS MORE THAN A POLITICAL PARTY, IT IS A PERSPECTIVE! IT REPRESENTS MY VOICE, YOUR VOICE! (ZINAZOKUWA IGNORED NA BULLIED NA CHAMA TAWALA)

THE TIME IS NOW!

CHANGIA CHADEMA! CHANGIA UKOMBOZI WA TAIFA!

PEOPLE'S POWER!
 
Nashauri iwekwe namna ya kuchangia endelevu na ya siri
1. Mpesa
2. Account
3. Mobile bank transfer like nmb mobile etc

hili zoezi liwe endelevu
 
Pia kupitia SMS, there is a lot of potential in this! People are ready to contribute for Change!
 
Chadema ni chama chenye muelekeo Kidini na Kikabila. Agenda kubwa ya Chadema ni kuleta Ukatoliki TZ. Padre Slaa hafai kuwa kiongozi. Kwa manufaa ya nchi, jiepushe na chama chenye mlengo wa kugawa nchi.
 
naona huna la maana unaloliwaza zaidi ya UDINI. go to hell soon your stinking ccm will be dead and buried
 
naona huna la maana unaloliwaza zaidi ya UDINI. go to hell soon your stinking ccm will be dead and buried

Sura zinazowakilisha Chadema ni Ushahidi tosha kwamba Chadema ni chama cha Kidini na Kikabila.
 
Back
Top Bottom