Tuchangie hoja ktk kupata katiba mpya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tuchangie hoja ktk kupata katiba mpya

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ladyfurahia, Nov 10, 2011.

 1. ladyfurahia

  ladyfurahia JF-Expert Member

  #1
  Nov 10, 2011
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 13,648
  Likes Received: 1,133
  Trophy Points: 280
  Hay waungwana naomba tuchangie masuala yanayohusu katiba yetu mpya kwani naona wabunge wanataka kutunyima
  nafasi zetu kama wananchi wa nchi yetu hivyo hatuna budi kujikomboa kwa suala hili. nipeni hoja zenu ili tuzipaishe humu ndani.
   
 2. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #2
  Nov 10, 2011
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Kwanza je hii ni Katiba mpya au ni ile ya zamani inakarabatiwa?
   
Loading...