mabala1990
JF-Expert Member
- Sep 19, 2012
- 209
- 141
Wakuu habari za usiku.,
Bila kuchelewa hapo kichwa cha habar kinajieleza, mimi kuna swala huwa najiuliza nakosa majibu ni kwanini inakuwa hivyo.,
Kwanza; Simu nyingi hasa smartphones(zilizonyingi na si zote) zina internal memory inayogawanyika kwa 8 yaani 8GB, 16GB, 32GB, 64GB and so on...na kwanini isiwe 7GB, 13GB na 21GB?
Pili; Computers specifically naongelea mpakato, zina bits 32 na 64 kwanini zisiwe 30 au 23 bits.?
Shukrani..,
Nawasilisha hoja..