Tuchague nembo mojawapo kati ya hizi mbili zilizopata kura nyingi

hbi

JF-Expert Member
Feb 6, 2011
678
297
Habari wana jamii... Mimi ni mwakilishi wa asasi ya kiraia inayoitwa Matabula's foundation. Tulikua tukihitaji nembo (logo) kwa ajili ya asasi yetu, ivyo tukaona tuwaombe wadau wanaoweza kudesign nembo nzuri kwa ajili ya asasi. Jambo jema nikua wadau walijitokeza na kutuma design zao.
Sasa imefika wakati wa kuchagua ni nembo gani tutakayotumia kutoka kwa zilizotumwa na wadau. Hivyo nikaona sio vibaya nililete suala hili kwenu tuweze kushauriana kwa pamoja kwani asasi hiyo ni ya kiraia ivyo ni yetu sote.

MATABULA’S ORPHANS, STREET CHILDREN AND WIDOWS FOUNDATION (MOWSF) is a satellite project of the Equal Opportunities for All Trust Fund (EOTF). EOTF is a local Tanzanian registered non-profit, non governmental charitable organization.
MATABULA’S ORPHANS, STREET CHILDREN AND WIDOWS FOUNDATION has a mission to provide superior residential (food, clothing and shelter), education and health care for children from Tanzania who are permanent wards of social welfare. MOWSF is committed to providing a superior standard of care that allows children who reside at MOWSF not only to survive but to thrive. MOWSF will fully comply with all Government Regulations regarding licensing facilities and
guidelines on the care of children. The village will be their home, a place for a family dwelling and a nest to nurture and provide them with proper values that will let them grow to be responsible future adults. MOWSF aspires to be a place of excellence that can act as a model to other similar centers that are built elsewhere in Tanzania.

Kutokana na maoni ya wadau mbalimbali zifuatazo ndio nembo zilizopigiwa kura na watu wengi kutoka sehem mbalimbali.. Hivyo naomba tusaidiane tena kupata mojaitakayotumika kati ya hizi

Nembo no 1
View attachment 75253



Nembo no 2
1.jpg

Asanteni sana waungwana wote mlioshiriki katika mchakato huu
 
namba 1 iko simple sana ila hii pili ni nzuri halafu imekaa kama zile za haki ya elimu..
 
Go for 2 ipo more realistic and not so artificial. It has a perfect color na inasadifu lengo....
 
hbi we ctumia hiyo ya pili, na mjadala uishie hapo, ya kwanza ni simple sana, mtu akiiona atahisi sio kitu ambacho ni siriasi
 
Last edited by a moderator:
Nembo no 2,

Iko professional na maneno yake yanasomeka vizuri na mpangilio wa rangi zake umekaa ki corporate zaidi.
Picha ya nyumba/shelter kwenye nembo no. 1 inaleta tija lakini design yake na maandishi yake hayaonekani vizuri.

bottom line, go for # 2.

Hayo ni maoni yangu tu.
 
Namba 2 ni nzuri zaidi. Inampa mtu picha ya harakaharaka ya shughuli ya asasi - something for the destitute. Ni professional na ina picha-rafiki zaidi hata kwa wenye elimu ya chini au hata kama hawana elimu kabisa, ambao ndio wengi katika kundi la walengwa wenu (kwa hapa kwetu).
I wish you all the best and God bless.
 
Ya 2 ni nzuri zaidi, ingawa naifananisha! check hilo jambo wasije wakakuzingua wakati mambo yatakapokuwa mazuri
 
Back
Top Bottom