Tuchague Kiswahili au Kiingereza. Tusifanye madudu

mm huwaga napata shida moja,kw mfano,nmb ni kifupi cha "national microfinance bank" sasa mtu anaposema tukutane nmb bank inakuwaje??ina maana angeamua kulitamka neno kw kiref chake angesema tukutane national microfinance bank bank??????
Anamaanisha hv nmb, bank. Sio nmb bank
 
Umebugi mzee, hakuna cha ame leave ni ame left (ambayo ni PP na PT kwa kuwa kitendo kimeshatendeka)

Kiswahili kilituunganisha kama Watanzania, tungetumia Kiingereza shuleni tusingekuwa,na utangamano kama sasa kwa kuwa kiingereza ni kigumu na watu wangebaki na vilugha vyao

Ila kwa sasa utengamano tayari upo wa kutosha na tukifanya elimu yote kwa Kiingereza ndio bora ili ku catch up na speed ya dunia ya utandawazi
Nakubaliana na wewe 100%.

Kusema ame leave ni kosa ilipaswa iwe ame left, hii ni kwa sababu 'me' imetumika kuwakilisha 'past' na 'leave' ni imewakilisha 'simple present', sasa huo mchanyato wa past na present inakuwa sio sahihi. Ikumbukwe kinaongelea kitendo kilichotimilika tayari

Kwako GuDume
 
hahahahaaaaaa,hii nayo ni shida,hadi kichere mwny TRA nishamsikia akisema TIN Number,kumbe ni makosa???nilikuwa sjui
Inatamkwa hv: TIN, number sio TIN number. Why? Ni kwa sababu kusem tu TIN hai make sense kwa sababu TIN sio SI Unit kwamba dunia nzima inajua TIN maana yake ni nini, so lazima itamkwe TIN, number sawa na kusema CRDB, Bank ama NMB, Bank na sio CRDB Bank ama NMB Bank hii pia ni kwa sababu dunia haijaweka standards kuwa popote neno crdb ama nmb inapoonekana basi ieleweke ni bank. Lazima uweke kaufafanuzi kama hivyo
 
Neno bugi nadhani umelitoa kwenye neno boogie - hili ni neno la kiingereza sisi tunaoifaham lugha tutakwambia maana yake ni- kucheza music wa rock au pop na pia ni kifaa kama piano cha music.

Sasa kama tu neno hili dogo hujui matumizi yake unapoteza kabisa credibility ya kuzungumzia lugha.

Boogie ni verb- kitenzi/kitendo ambalo hilo neno past tense yake ni boogied.
Sasa kwa nini usisema
Ume- boogied? Unasema ume boogie?
Ila unataka kusema
Ume- left badala ya ume leave ?

Haya mambo waachie wanaojua ku reason na wenye ufaham wa lugha.ukileta ujana ujana utaajiabisha tu.

Huelewi ungetulia ungepata darsa. Ame - ni kauli ya wakati uliopo kamilifu. Ame - ondoka
Ukitumia kiswahili na kiingereza unapaswa uwe unazifaham lugha zote mbili vizuri.kaa kitako nikuelekeze bure kabisa.

Left- wakati uliopita wa leave.
He left - aliondoka
Leave - ondoka
Ame leave yaani ame-ondoka
Ungesema kwa kiswanglish ameeenda ungesema ame -go = ameenda
Ame- come = amekuja
Ana - eat = anakula
Ame - eat = amekula

Ame- hii tayari inaelezea wakati uliopo kamilifu kwenye kiswahili
Otherwise tumia kiswahili tu moja kwa moja kuwa
Ameondoka au english moja kwa moja kuwa
They have left.
Wewe unachanganya wakati uliopo na uliopita, unakosea. Usichanganye
 
Muuza sijui nini.
Leave - ondoka
Ame - leave
Ameondoka

Left- _liondoka.
Ame left- ame_liondoka.
Sijui kama unaelewa hapo.na haya makosa yapo mtu anaposema
Nita left. Badala ya nita leave.

Huwezi ukaunganisha maneno mawili haya kwa miundo hiyo ndo maana nikauliza kwa nini hakusema
Ume- boogied
Akasema umeboogie?

Labda wewe msaidie sasa. Twende kisomi na kwa lengo la kuelewa.anza kujibu hilo swali.kwa nini alisema ume boogie badala ya kusema ume boogied?

PIA UNAKOSEA SANA KWA SISI TUNAOFAHAM LUGHA HIZI.
ME - haiwakilishi past
LI- Inawakilisha past kweny sentensi

ME- ni Present Perfect.

Nakubaliana na wewe 100%.

Kusema ame leave ni kosa ilipaswa iwe ame left, hii ni kwa sababu 'me' imetumika kuwakilisha 'past' na 'leave' ni imewakilisha 'simple present', sasa huo mchanyato wa past na present inakuwa sio sahihi. Ikumbukwe kinaongelea kitendo kilichotimilika tayari

Kwako GuDume
 
Sijawah kukosea au kuchanganya.
Nambie wakati upi uliochanganywa nami.
Ikiwa wewe unasema
aMe enda - ni wakati uliopita. Na
ALI end utasema wakati gani?

Wewe unachanganya wakati uliopo na uliopita, unakosea. Usichanganye
 
Muuza sijui nini.
Leave - ondoka
Ame - leave
Ameondoka

Left- _liondoka.
Ame left- ame_liondoka.
Sijui kama unaelewa hapo.na haya makosa yapo mtu anaposema
Nita left. Badala ya nita leave.

Huwezi ukaunganisha maneno mawili haya kwa miundo hiyo ndo maana nikauliza kwa nini hakusema
Ume- boogied
Akasema umeboogie?

Labda wewe msaidie sasa. Twende kisomi na kwa lengo la kuelewa.anza kujibu hilo swali.kwa nini alisema ume boogie badala ya kusema ume boogied?

PIA UNAKOSEA SANA KWA SISI TUNAOFAHAM LUGHA HIZI.
ME - haiwakilishi past
LI- Inawakilisha past kweny sentensi

ME- ni Present Perfect.
Unaanza kwa kuniita Muuza sijui nini, hii ni dalili ya mtu mwenye dharau hupendi kuwapa watu heshima zao, inatuma signal pia wewe ni brain washed mweupe kichwani...! Unajitetea kwa kuwatisha, kuwaogopesha, mwishowe utapanic na kuanza kutukana.

Kwa kukusaidia tu:

Onyo:
Usitake kutafsiri Kiingereza moja kwa moja kwa Kiswahili (hii ni kanuni katika kutafsiri lugha yeyote duniani moja kwa moja kwenda nyingine).

Kumbuka, dunia haijui kitu kinaitwa ame leave au ame left, lkn walau ame left inatoa muelekeo sahihi uliokusudiwa na mzungumzaji.

So far, kwangu usahihi utabaki kuwa: ame left na sio ame leave; nita leave na sio nita left, n.k, n.k, n.k,
 
Sijakosea jina lako. Wewe ni muuza.... So nmekuita kitupi why uone nmekukosea heshima wakati ni muuzaji bidhaa hiyo uliyotaja.
Maana ya kuwa brain washed si hiyo uliyotoa.hapa maana yake ni kuwa huwa unalisikia hilo neno na leo umependa upate nafasi ya kulitumia.

Mimi nmekuuliza maswali yangu ujibu kwa hoja na hujajibu hata moja isipokuwa kusisitiza unachoamini.ambalo hilo si kosa maana hata ambaruti anaamini alichofanya ni sahihi au delicious anaamini anachofanya ni sahihi.

Nmekuuliza maswali ya msingi.nmekukosoa kisomi kwa kielezea dhana kadhaa.hujajibu hujafafanua.umekimbilia kunishambulia but hukuweza maana nipo sehemu ambayo yu cant do that.

Kiswahili ni lugha ninayoifaham sana
Kiingereza ni lugha ninayoifaham sana
Kijerumani ni lugha ninayoifaham sana
Kispaniola ni lugha ninayoifaham sana

Utanifundisha kifaransa ,kichina n.k

Twende tu kisomi umesema neno panic- sijui kama unafaham matumizi ya hili neno.ungekuwa tayari pia ngekuelezea maana hujatumia ipasavyo na ndo hayo makosa kitaalam wanaita common mistakes. 😁😁😁😉

Enewei.....nashukuru kwa mada, sasa endelea na mishe za kujenga taifa acha porojo
 
Back
Top Bottom