Tubarizi kidogo na zile ngoma za asili za kwetu

Ulimakafu

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
29,033
10,674
Mojawapo wa zile ngoma za asili maarufu ni hizi:
Gobo gobo
Tokomile
Mganda
Bagika
....................
 
kama hujataja LIZOMBE bado hujakamilisha hiyo list kiongozi. Pale Morogoro kuna kitu inaitwa msakamale nayo ni noooma haya Mdundiko umeusahau. Kuna KAMBINDI pale Songea aka KAMBUSU hahhahaa hii bana raha mnoo kuicheza, sijui km kwa sasa wanaendelea kucheza. Enzi hizo miaka ya 1983-86 nikiwa songea mitaa ka kimolo, mateka, makambi, matogoro, baba ikifika saa mbili tuu usiku ni KAMBINDI kwa kwenda mbele!
Zile beats zake zikipigwa basi ukawa tunatafsiri eti Dombi eeeh sito...bi tena hahahahahhhhaha dah ilikuwa raha sana
 
Nimekukubali mkuu.
 
Back
Top Bottom