Tubadilishe mbinu kukamata majambazi

m2020

JF-Expert Member
Jul 10, 2016
979
1,353
Nashauri kutumika kwa mbinu za makomandoo wa jwtz katika kukamata majambazi haswa pale polisi wetu wanapopata taarifa za wanapoishi majambazi kuepusha vifo vya askari wasio Na utaalam wa kikomandoo.

Tumeona tukio la Arusha Na sasa vikindu ambapo askari viongozi wameuawa kwenye msako mara wanapowakaribia kuwakamata majambazi husika.
 
Mimi nafikiri tumechoka na haya masinema ya kina amrish puri, akshay kumar na kina sunjay dat. Tuwe wakweli na wapenda amani, tuhamasishe mapolisi wasiwabague raia kwa misingi ya ukawa, ukuta, uccm, uchadema, umatumbi, undengereko, ukkt au ubakwata. Raia wajengewe mazingira ya kuweza kuwaamini mapolisi, hata majambazi watafichuliwa bila kutumia nguvu kubwa.
 
Asante mkuu
 
Back
Top Bottom