Uchaguzi 2020 Tubadilishe Katiba tuwe na Wabunge na Madiwani wa kuteuliwa na Tume

kagoshima

JF-Expert Member
Dec 31, 2015
2,631
5,137
As it stand wanachofanya Tume ni comedy. Katiba yetu inaainisha vyema Wabunge na Madiwani wachaguliwe vipi au wateuliwe vipi.

Mfano kwenye Ubunge Katiba inaainisha kwamba;

1. Kuna wabunge wa kuchaguliwa majimboni na Wananchi baada ya kuwa approved na vyama vyao,

2. Kuna nafasi za wabunge 10 wanaoteuliwa na RaiS

3. Pia Kuna nafasi zile za viti maalumu.

Hivyo ndivyo katiba ya inchi inavo onesha.

Cha ajabu sasa kwa uchaguzi uloandaliwa na tume hii ya uongozi awamu ya tano. Kutakua na makundi haya ya wabunge.

1. Wabunge waliochaguliwa na Wananchi majimboni kwa muujibu wa katiba
2. Wabunge walioteuliwa na rais kwa muujibu wa katiba
3. Wabunge wa viti maalumu kwa mujibu wa katiba.

4. Wabunge walioteuliwa na tume kutokana na ama kutaka kumfurahisha mtu fulani au kupendelea chama Fulani.
 
Muasisi wa uharamia huu wa kisiasa ametukosea sana Watanzania,na kama Mungu muumba wa mbingu na nchi aishivyo uharamia huu hautamuacha salama kamwe.
 
Tunawabunge wapya, Viti maalumu toka tume, wananchi wamepokonywa Uhuru wao wa kuchagua
 
Back
Top Bottom