Tubadilishe Katiba ili Magufuli asiharibu fedha kwa sababu ya Uchaguzi

Wakuu mi napendekeza tubadilishe katiba itayofuta Ukomo wa Rais Kugombea mfano Rais Magufuli anatufaa kabisa hata tusipofanya Uchaguzi wa Mwaka 2020 na 2025 anatosha labda kuwe na Uchaguzi wa Wabunge Mimi binafsi sioni sababu ya Kusikiliza Siasa za Kilaghai na Kitapeli kutoka Baadhi ya Vyama vya siasa nchini.

Pia wananchi wa Tanzania wanaonekana wanampenda sana rais wao kwa matendo yake na si kupaka rangi nyeupe Kichwani.

Ila tatizo ni Moja tuu tumpeleke yule fisadi katika mahakama ya Mafisadi kwani kusalia kwa fisadi Yule anayezunguka Nchi nzima kwa sasa kutapunguza idadi ya Kura 2020. Fisadi afunguliwe Mashtaka hata kama hakuna vielelezo vilivyokamilika. Kwani Rais alitoa ahadi ya Kuanzisha mahakama ya Mafisadi na Fisi pia anatuhuma za Ufisadi.
UNAPIGWA NAO ubongo wako umechanganyika na kinyesi ndo maana unaropoka upuuzi
 
Kapimwe, huenda unalo tatizo la kiafya. Ukikuta uko sawasawa kiafya, jaribu kwenye ukoo, huenda kuna jambo ovu umetenda huko na haya majibu ni ya laana, au basi humaanishi unachokisema ni UTANi tu!!
 
its better to express your feeling without Using abuse language to someone else.

dont be judgemental ba ndugu.
 
4401fc9f7c0361f92c40590d1e1b6b8f.jpg
 
Bila shaka kiungo ambacho wenzako hutumia kujisaidia haja kubwa mtoa mada unakitumia kupumulia na kufikiria
 
Wakuu mi napendekeza tubadilishe katiba itayofuta Ukomo wa Rais Kugombea mfano Rais Magufuli anatufaa kabisa hata tusipofanya Uchaguzi wa Mwaka 2020 na 2025 anatosha labda kuwe na Uchaguzi wa Wabunge Mimi binafsi sioni sababu ya Kusikiliza Siasa za Kilaghai na Kitapeli kutoka Baadhi ya Vyama vya siasa nchini.

Pia wananchi wa Tanzania wanaonekana wanampenda sana rais wao kwa matendo yake na si kupaka rangi nyeupe Kichwani.

Ila tatizo ni Moja tuu tumpeleke yule fisadi katika mahakama ya Mafisadi kwani kusalia kwa fisadi Yule anayezunguka Nchi nzima kwa sasa kutapunguza idadi ya Kura 2020. Fisadi afunguliwe Mashtaka hata kama hakuna vielelezo vilivyokamilika. Kwani Rais alitoa ahadi ya Kuanzisha mahakama ya Mafisadi na Fisi pia anatuhuma za Ufisadi.
Wewe so bure umetumwa kutupia huu Uzi jf sasa ninakueleza kwamba ulichotumwa hakina maaana kwa watz na kama mnampango huo basi mmefeli aslimia100.ushawishi wako unawezaleta matokeo hasi usipigiekampeni ufascist kwajili ya kitukidogo tumekushtukia
 
Back
Top Bottom