Tubadilishe Katiba ili Magufuli asiharibu fedha kwa sababu ya Uchaguzi

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,804
12,233
Wakuu mi napendekeza tubadilishe katiba itayofuta Ukomo wa Rais Kugombea mfano Rais Magufuli anatufaa kabisa hata tusipofanya Uchaguzi wa Mwaka 2020 na 2025 anatosha labda kuwe na Uchaguzi wa Wabunge Mimi binafsi sioni sababu ya kusikiliza siasa za kilaghai na kitapeli kutoka baadhi ya vyama vya siasa nchini.

Pia wananchi wa Tanzania wanaonekana wanampenda sana rais wao kwa matendo yake na si kupaka rangi nyeupe Kichwani.

Ila tatizo ni Moja tuu tumpeleke yule fisadi katika mahakama ya Mafisadi kwani kusalia kwa fisadi yule anayezunguka nchi nzima kwa sasa kutapunguza idadi ya Kura 2020.

Fisadi afunguliwe Mashtaka hata kama hakuna vielelezo vilivyokamilika. Kwani Rais alitoa ahadi ya kuanzisha mahakama ya Mafisadi na Fisi pia anatuhuma za Ufisadi.
 
Troll JF wewe ni binadamu mwenye akili timamu kweli?Unamuita binadamu mwenzio fisi?Ama kweli unakoelekea siko.Mhemko unakukosesha adabu kiasi hicho.Hata hofu ya mungu huna?Binadamu tunaelekea wapi?
 
Ukimwi nyinyi, mv Bukoba nyinyi, tetemeko nyinyi, kijiji cha katerero kipo kwenu, pia nasikia kuna mto Ngono
 
Wakuu mi napendekeza tubadilishe katiba itayofuta Ukomo wa Rais Kugombea mfano Rais Magufuli anatufaa kabisa hata tusipofanya Uchaguzi wa Mwaka 2020 na 2025 anatosha labda kuwe na Uchaguzi wa Wabunge Mimi binafsi sioni sababu ya Kusikiliza Siasa za Kilaghai na Kitapeli kutoka Baadhi ya Vyama vya siasa nchini.

Pia wananchi wa Tanzania wanaonekana wanampenda sana rais wao kwa matendo yake na si kupaka rangi nyeupe Kichwani.

Ila tatizo ni Moja tuu tumpeleke yule fisadi katika mahakama ya Mafisadi kwani kusalia kwa fisadi Yule anayezunguka Nchi nzima kwa sasa kutapunguza idadi ya Kura 2020. Fisadi afunguliwe Mashtaka hata kama hakuna vielelezo vilivyokamilika. Kwani Rais alitoa ahadi ya Kuanzisha mahakama ya Mafisadi na Fisi pia anatuhuma za Ufisadi.
Uzi wa Kipuuzi so far kwa 2017
 
Uzi huu ni wa kutafutiana ban au kutolewa kucha, mods tafadhalini tuhurumieni kwa kuufuta.
 
Back
Top Bottom