tubadilishaneni hapa mbinu za kuwakabili watu hasi maishani mwetu

yuzazifu

JF-Expert Member
Oct 6, 2018
5,109
9,407
natumai mpo njema wakuu.

direct to thread, mtu hasi anaweza kua ndugu, rafiki ama jirani, na hili jambo linatokana na nature ya uumbaji means huwez pendwa na kila mtu pia huwezi chukiwa na wote..

zifuatazo ni mbinu ambazo mi huzitumia kuwakabili watu hasi ili maisha yasonge:
1. nawaheshim
binafsi huwaheshim ili wapunguze shobo coz hawa watu hawakosagi choko choko na hawataki shindwa kabisa.

2.nawapuuza
hata naposikia wamenisema vibaya ama kunitakia mabaya huwapuuza tu jambo ambalo huwafanya wahisi sina makuu, kumbe mi nawazoom tu ili maisha yaendelee

3.naficha neema alizonijalia mola
hapa kama umejaliwa mali, uzuri au akili jitaidi kupunguza tambo na majigambo itakusaidia kupunguza husda na roho mbaya.

binafsi mbinu hizi zimenisaidia sana, je wewe unatumia mbinu zipi kuwakabili hawa watu???
 
Nawakemeaga waache uchawi na viherehere vya kudiscuss mambo yasiyo wahusu
 
Hiyo nambali 3 ni muhimu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa nawapa muda mchache sana wa kuwa/kuwasiliana au kushirikiana nao .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom