nyondoloja
Senior Member
- Nov 10, 2010
- 189
- 52
- Thread starter
- #21
ile ku ya 36.0e we mkuu unapata channel ngap hapo nipe fr zake
FTA zipo 8 zakulipia DSTV na ZAP zote zinaingia
ile ku ya 36.0e we mkuu unapata channel ngap hapo nipe fr zake
ah upo Tunduma nikija pande hiyo nitakutafuta,hujaga kwa mr Whitemkuu mii nipo tunduma dishi unayoiona ni futi 6 kuhusu charge tunaongea
kwenye Zuku ipomkuu naomba kujua kama chanel za USA zinapatikana hapo kama MSNBC??
ah upo Tunduma nikija pande hiyo nitakutafuta,hujaga kwa mr White
Hiyo kwenye zuku ni yakulipia ya
FTA ipo 68.5e
Mkuu nyondoloja, thanx kwa kushare ujuzi huu muhimu. Naomba niulize, kwa upande wa channels za dstv, ni channels ngapi unapata na ni zipi? Pia kwenye kutoa nyaya toka kwenye LNBs kwenda ndani kwenye receiver, unatumia disc switch ngapi au ya aina gani? Thanx.
nyondoloja wapi nitapata dish la futi 6 la nyavu?
Dishi la nyavu ni kuanzia futi 8 zinapatikana uliza
Duka wanazouza madishi
nashukuru sana ila naweza nikafamu bei zake! Yaani kila kitu plus dish la nyavu.
FTA zipo 8 zakulipia DSTV na ZAP zote zinaingia
mkuu hyo c band ya 68.5e imenipa aljazera,hope,samaa,ftv,peace,samaa. ila sijazpata zile za kihnd kama dd india ,dd sport,b4u, lakini hii ya ku band 68.5e nimeiweka juu ya c band lakini sijapata channel
Je ktk hyo KU ya 68.5 unapata freq zote? Yaani 12522V/H,12722V/H,12602V,12682H,na 12562H. Kwa sasa My Tv Promo imeachiwa ipo hewani. Niliwah kujarbu kufunga hvo nikawa napata tu upande mmoja,12722V,12602V TU PEKE YAKE. Hebu nipe maujanja zaidi.