Tubadilishane Utaalamu wa kufunga satellite dishi 1 lnb 6

Mkuu nyondoloja, thanx kwa kushare ujuzi huu muhimu. Naomba niulize, kwa upande wa channels za dstv, ni channels ngapi unapata na ni zipi? Pia kwenye kutoa nyaya toka kwenye LNBs kwenda ndani kwenye receiver, unatumia disc switch ngapi au ya aina gani? Thanx.
 
Mkuu DSTV sio FTA kama unaujanja wa kuchakachuwa ni wewe nimeona watu wengi wanajaza dishi nyumbani kwao mfano ZUKU,DSTV,ITV inatakiwa uwe na dishi3 kwasasa ni dishi1. Fut6

kuhusu disc kunanjia 8 receiver nyingi za kisasa zinasapot MPEG2 zakizamani zinagoma.kamauna
receiver yako haisapot disc ya njia8 weka zanjia4. 2 unatowa waya 2 kwenda ndani kazi
nikuhamisha waya.

picha za FTA zipo 8 kama receiver ni MPEG4 unapata10 za DSTV , ZAP ni zaidi ya 300 zinaitaji malipo
 
Mkuu, umetisha sana maana hapa kila kitu umeweka wazi kabisa kiasi kwamba wenye idea inakua rahisi kupata.
 
nashukuru sana ila naweza nikafamu bei zake! Yaani kila kitu plus dish la nyavu.

hakuna dish fut6 zanyavu nikuanzia ft8 nakushauli kama unataka kufunga huu mfumo
Funga fut6

kuhusu bei zinatofautiana na unapo ishi nenda
Dukani uliza dishi ft6, LNB cbd 3, ku 3, ukipata
Receiver mpeg4 itaitajika disc njia 8 kamareceiver ni mpeg2 nyingi hazisapoti disc
njia 8 itakubidi utafute disc njia 4 ziwe 2

Hapo inabaki ufundi nimapatano nafundi atakae
kufungia mwisho bomba la sitendi nakuchoma
hivyo vinatofautiana bei kufatana naunapo ishi
Tunduma pamoja na kuchoma haizid 60000
 
mkuu hyo c band ya 68.5e imenipa aljazera,hope,samaa,ftv,peace,samaa. ila sijazpata zile za kihnd kama dd india ,dd sport,b4u, lakini hii ya ku band 68.5e nimeiweka juu ya c band lakini sijapata channel

Mkuu dd hazipo una mpeg2 au 4 nikuweke fk zote hiyo ku kama hupati sigino umekosea kukata ku na kutobowa cbd ukichemuka tafuta elb iliyo shikana cbd na ku au nipigie sim
0754650073-0658650073-0787660073-0774650073
 
Je ktk hyo KU ya 68.5 unapata freq zote? Yaani 12522V/H,12722V/H,12602V,12682H,na 12562H. Kwa sasa My Tv Promo imeachiwa ipo hewani. Niliwah kujarbu kufunga hvo nikawa napata tu upande mmoja,12722V,12602V TU PEKE YAKE. Hebu nipe maujanja zaidi.
 
Zote za V, H zinakubali
 
Back
Top Bottom