Tubadilishane Utaalamu wa kufunga satellite dishi 1 lnb 6

Ndiyo unapata kwa Rcva yoyote ya MPeg4
Leo nimepita duka fulani hapa Kigoma nimeikuta ALPHABOX x6+ COMBO RECEIVER, muuzaji amenambia naweza kutumia hata dishi ndogo na zile LNB tunazotumia kama za AZAM, DSTV, STARTIMES etc na zinafanya kazi kama kawaida.
Ukweli wake upoje na Je, ni kweli kwamba naweza kukamata Local Channels za hapa kwetu Bongo bila shida yoyote?
 
Unazipata lakina mda mrefu huwa zimefungwa ni bora ununue decoder ya continento au ting utazipata bila usumbufu kwa decoder kama hiyo labda uwe mtaalam kidogo ndio utafaidi machanel mengine
 
Unazipata lakina mda mrefu huwa zimefungwa ni bora ununue decoder ya continento au ting utazipata bila usumbufu kwa decoder kama hiyo labda uwe mtaalam kidogo ndio utafaidi machanel mengine
Ting na continental inakubari local zote za bongo msaada tafadhar
 
Leo nimepita duka fulani hapa Kigoma nimeikuta ALPHABOX x6+ COMBO RECEIVER, muuzaji amenambia naweza kutumia hata dishi ndogo na zile LNB tunazotumia kama za AZAM, DSTV, STARTIMES etc na zinafanya kazi kama kawaida.
Ukweli wake upoje na Je, ni kweli kwamba naweza kukamata Local Channels za hapa kwetu Bongo bila shida yoyote?
Dish dogo elekeza uelekeo wa Continental na hiyo receiver uliyo taja hapo juu uachane na utumwa wa kulipia channel kila mwezi.
 
...
combo receiver unapata masafa ya terrestrial na satellite kwa pamoja.
haya mahangaiko ya local channel ni jukumu la tbc na mbia wake. Mbia wake hajaweka hizo channel kama fta. Na tbc wameridhika na hilo.
...
 
UTAMU WA NGOMA INGIA UICHEZE HAYA MAMBO YANAZEESHA AKILI ILA MWANZONI YANAFURAHISHA.

UKWELI NI KWAMBA ALPHABOX NI MPEG 4 ILA HAIWEZI KUFUNGUA BAADHI YA MUFUMO ILIYOTUMIKA KUFUNGA CHANELI BAADHI EXA CONAX, VIDEOGUARD, IREDITO NK

ISIPOKUWA INAFUNGUA POWER VU, BISS KEY, TRANDBERG PEKEE

KABLA HAUJANUNUA KITU HAKIKI KAMA KITAKIDHI HITAJI LAKO.
 
Back
Top Bottom