nyondoloja
Senior Member
- Nov 10, 2010
- 189
- 52
- Thread starter
- #361
Huu uzi ni useful, subiri nkirudi home nikafumue fumue lile dishi nilitege upya
Soma kwa makini utafanikisha
Huu uzi ni useful, subiri nkirudi home nikafumue fumue lile dishi nilitege upya
Hizi receiver bei gani zinauzwa?- GSKY
- FreeSat Combo au Freesat Max
- Alphabox
- srt 4922
- Qsat q28g
Unaweza pata local Chanel ngapi za bongo?Laki 1 hadi laki na 50
Kuna receiver unaweza pata local Chanel zote za bongo km Chanel ten au startv ?Soma kwa makini utafanikisha
Ndiyo unapata kwa Rcva yoyote ya MPeg4Kuna receiver unaweza pata local Chanel zote za bongo km Chanel ten au startv ?
Bei zikoje nisaidieeNdiyo unapata kwa Rcva yoyote ya MPeg4
Heko JF eti bado wanasiasa wanashadadia ifungwe,me nlikuwa bogus nowdays hata kujiamini najiamini
Leo nimepita duka fulani hapa Kigoma nimeikuta ALPHABOX x6+ COMBO RECEIVER, muuzaji amenambia naweza kutumia hata dishi ndogo na zile LNB tunazotumia kama za AZAM, DSTV, STARTIMES etc na zinafanya kazi kama kawaida.Ndiyo unapata kwa Rcva yoyote ya MPeg4
Ting na continental inakubari local zote za bongo msaada tafadharUnazipata lakina mda mrefu huwa zimefungwa ni bora ununue decoder ya continento au ting utazipata bila usumbufu kwa decoder kama hiyo labda uwe mtaalam kidogo ndio utafaidi machanel mengine
NdioTing na continental inakubari local zote za bongo msaada tafadhar
Inahitaji fundi mtaalamu sana au hawahawa wa kawaida? Kule juu unaweka Ku au cband lnb? Msaada kaka.Nd
Ndio
Ku fundi tu anayejua funga dishInahitaji fundi mtaalamu sana au hawahawa wa kawaida? Kule juu unaweka Ku au cband lnb? Msaada kaka.
Ku fundi tu anayejua funga dish
Dish dogo elekeza uelekeo wa Continental na hiyo receiver uliyo taja hapo juu uachane na utumwa wa kulipia channel kila mwezi.Leo nimepita duka fulani hapa Kigoma nimeikuta ALPHABOX x6+ COMBO RECEIVER, muuzaji amenambia naweza kutumia hata dishi ndogo na zile LNB tunazotumia kama za AZAM, DSTV, STARTIMES etc na zinafanya kazi kama kawaida.
Ukweli wake upoje na Je, ni kweli kwamba naweza kukamata Local Channels za hapa kwetu Bongo bila shida yoyote?