Tubadilike vijana... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tubadilike vijana...

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by mickyjager, Aug 26, 2010.

 1. m

  mickyjager Member

  #1
  Aug 26, 2010
  Joined: Aug 22, 2010
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  vijana waliokuwa nje wanachukulia kuwa CCM kwa sasa ni chama cha wazee hasa kwa wale vijana walioko nje, tufanyeje ili tuweze kujua hali halisi ya kila mahali kwa kuweza kufanya mikakati ambayo itafanyika ili kupata hali halisi ya huko mtaani?

  Dr slaa nakuuliza swali kama uliweza kutunza ahaadi kwa mungu je? utaweza kutunza ahaadi kwa watanzania?

  watanzania kufanya mambo ya kubeza mambo ambayo yamefanywa na serikali ya awamu ya nne, embu tufanye tathimini ndogo kwa nchi za jirani kama kenya nadhani hakuna mtanzania ambaye hajui hali ya wenzetu baada ya wananchi kufanya mabadiliko ya uongozi kwa kukiondoa chama tawala madhara yake sasa ni makubwa mno kwa mkenya wa sasa, maana sisi tusizoee kusema mabadiliko kwanza tujifunze kutoka kwa wenzetu waliofanya hayo waliofanya mabadiliko kama tulivyojaza kauli hii midomoni mwetu hata kama tanzania sisi ni maskini wa mali ila tujivunieni utajiri wetu tulio nao kwa amani ambao udumishwa na CCM tena ambayo haupatikani kwa nchi yeyote Duniani.
   
 2. Freetown

  Freetown JF-Expert Member

  #2
  Aug 26, 2010
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  wengine nao wasaidie ulichoandika wala hakieleweki
   
 3. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #3
  Aug 26, 2010
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  The same to me.......labda wengine waje:confused2:
   
Loading...