Hukumuzuku
JF-Expert Member
- Aug 29, 2008
- 6,675
- 5,023
Ungejadili uwekezaji kwenye ardhi vis-a-vis uwekezaji kwenye soko la hisa, kwa mfano, hapo ungeeleweka. Wazazi wana invest a lot of emotional resources kwa watoto wao. Hilo ni tofauti sana na kuwekeza pesa kwenye kitu kama ardhi au nyumba ili baadaye upate faida. Kumsomesha mtoto shule nzuri hakumaanishi kuwa hapo baadaye Wazazi wanategemea wata reap monetary rewards off of their efforts kwa kuwalipia watoto wao shule za gharama. Siyo kila kitu kinapimwa kwa thamani ya pesa ndugu.Zamani hizo watu wajanja walikuwa wakiwekeza kwenye watoto, na kuwasomesha kwa gharama, hadi chuo huko then waje kuajiriwa walipwe mshahara mzuri wawatunze
Kwa kiasi kikubwa kama mtoto wako alikuwa 'kichwa' miaka hiyo ya 1960-2000 huko hii likuwa formula iliyoleta matunda
Ila kwa miaka ya 2000 na kwenda mbele, hii formula ni pata potea
Idadi yetu ya watu na wasomi imekuwa ila uchumi rasmi haujakuwa kiasi cha kuweza ku absorb kama inavotakiwa hii nguvu kazi ya wasomi inayozalishwa kwa kasi
Njia nzuri ya ku secure future yako uzeeni na ya Watoto na wajukuu kwa sasa haipaswi kuwa hiyo ya kizamani ya miaka ya 60 hadi 2000
Kwa sasa Tz ni moja ya nchi inayoongoza kwa ukuaji mkubwa wa idadi ya watu, yaani mwaka 2100 itakuwa ni kwenye top 5 ya nchi zenye watu wengi duniani.
Imagine sensa ya mwaka 2012 idadi ya watu ilikuwa milioni 45 Tz, mwaka 2020 ilikadiriwa kuwa watu milioni 60, ongezeko la 33% ndani ya miaka 8..! Na hapo ni kabla ya ile kampeni ya Magufuli ya watu wafyatuane
Sasa njia nzuri ya ku capitalize kwenye hili ni kuwekeza kwenye ardhi, ardhi hasa ya maeneo ya miji ya kimkakati
Kumpeleka mtoto shule ya msingi ya milioni 3 kwa mwaka, haina guarantee ku secure future nzuri kama hizo milioni 3 kila mwaka(kwa miaka 7 ni milioni 21) ukawekeza kwenye viwanja au mashamba kwenye miji au karibu na miji inayokuwa kwa kasi..miaka 15 hadi 20 itakuwa na thamani kuliko hivyo vyeti
Japo elimu inampa ufahamu mtoto pia, ila sio lazima iwe ghali kiasi hicho
Ingekuwa binadamu wote wana fikra kama zako, basi kila raia wa kawaida wa nchi ambazo elimu ni bure kuanzia chekechea hadi Vyuo Vikuu angekuwa dollar millionaire.