Tubadilike; Kutumia fedha nyingi kuwekeza kwa watoto kumepitwa na wakati

Akina mama na baba junior watasema umasikini unakusumbua na usiwapangie matumizi.

Ndio maana wachaga na wahindi wanatupiga gape sana kimaisha,wanachanga karata zao smart sana,sio kwa mkumbo.
Hao wachaga na wahindi ndio wanaongoza kusomesha watoto wao kwenye shule expensive....Sasa sijui inamaanisha nini ukiwaweka wao Kama mfano wa kuigwa
 
Kama hela zipo somesha mtoto uwezo wako unapofikia mimi, baba angu mwenyewe alitumia hela za kutosha kunisomesha im grateful for that exposure niliyonayo inanisaidia vitu vingi sana na mtoto wangu nitampatia kwa kadri ya uwezo wangu...😀😀😀
Ulisomeshwa shule gani
 
Back
Top Bottom