Tubadilike; Kutumia fedha nyingi kuwekeza kwa watoto kumepitwa na wakati

Upo vizuri. Kitu ambacho wazazi wanakisahau kwa sasa ni kuendeleza kipaji cha mtoto.

Mtoto akiwa ana kipaji (ukiwemo mziki) mzazi kiendeleze. Wazazi wengine wanaogopa kuendeleza kipaji cha mtoto cha muziki. Eti muziki ni uhuni!. Muziki ni kazi kama kazi zingine!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Muzki n uhun ukiamuua kuufanya kihun ,mzk n kz km kz zingine leo hii ukimwangalia dai n muzik embuu chek anavyokula maishaa,ttz watz tumeaminishwa sana kwenye elimu elimu
 
chinchilla coat achana na mawazo ya mtoto kuja kukusaidia uzeeni. Mtoto siyo bima yako ya uzeeni. Msomeshe mtoto wako ili akabili naisha yake ya baadaye siyo maisha yako ya uzeeni. Tafuta namna utakavyojisustain uzeeni siyo kutegemea watoto. Kwa mawazo yako haya utakuwa kero kwa watoto wako baadaye.
Siwezi ku bet maisha yangu ya uzeeni kwa mtoto

Hata hivuo ni vitu viwili vinavyoenda kwa pamoja, mzazi yeyote kumuwzesha mtoto kuja kuwa na kipatp kizuri litamsaidia yeye hata kama anajiweza kwa kumuondolea mzigo wa utegemezi kutoka kwa huyo mtoto, pia atakuwa proud kuwa na mtoto aliyefanikiwa

Na mwanae atakuwa hamuombei kifo cha haraka ili arithi mali
 
Kama hela zipo somesha mtoto uwezo wako unapofikia mimi, baba angu mwenyewe alitumia hela za kutosha kunisomesha im grateful for that exposure niliyonayo inanisaidia vitu vingi sana na mtoto wangu nitampatia kwa kadri ya uwezo wangu...😀😀😀
 
Somesha watoto wajitambue uhakikishe malezi Yako yanawafanya wasimame wenyewe bila mali zako
Ukijifanya kuwekeza ukawasahau
Aroo baada ya wewe kukata moto ndani ya miezi SITA huo uwekezaji wako utakuwa sokoni watauza Kila kitu wabaki maskini wa kutupwa

Mali huja mali huisha ila ukiweza kuwapa malezi ya kusimama wenyewe ,umemaliza ,waweza ukakata moto usiwaache hata na sh 100 lkn wakichanga akili ulizowaachia wanasogea TU.
Wekeza ila weka nguvu kubwa Kwa watoto

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Hakusema watoto wasisomeshwe ila umakin i Ili kutomaliza kipato chote
Na hii tatizo ni kubwa sana. Lakini siyo sahihi wala siyo haki mtoto kuwa bima ya mzazi uzeeni.
Yes ni kweli
 
Zamani hizo watu wajanja walikuwa wakiwekeza kwenye watoto, na kuwasomesha kwa gharama, hadi chuo huko then waje kuajiriwa walipwe mshahara mzuri wawatunze

Kwa kiasi kikubwa kama mtoto wako alikuwa 'kichwa' miaka hiyo ya 1960-2000 huko hii likuwa formula iliyoleta matunda

Ila kwa miaka ya 2000 na kwenda mbele, hii formula ni pata potea

Idadi yetu ya watu na wasomi imekuwa ila uchumi rasmi haujakuwa kiasi cha kuweza ku absorb kama inavotakiwa hii nguvu kazi ya wasomi inayozalishwa kwa kasi

Njia nzuri ya ku secure future yako uzeeni na ya Watoto na wajukuu kwa sasa haipaswi kuwa hiyo ya kizamani ya miaka ya 60 hadi 2000

Kwa sasa Tz ni moja ya nchi inayoongoza kwa ukuaji mkubwa wa idadi ya watu, yaani mwaka 2100 itakuwa ni kwenye top 5 ya nchi zenye watu wengi duniani.

Imagine sensa ya mwaka 2012 idadi ya watu ilikuwa milioni 45 Tz, mwaka 2020 ilikadiriwa kuwa watu milioni 60, ongezeko la 33% ndani ya miaka 8..! Na hapo ni kabla ya ile kampeni ya Magufuli ya watu wafyatuane

Sasa njia nzuri ya ku capitalize kwenye hili ni kuwekeza kwenye ardhi, ardhi hasa ya maeneo ya miji ya kimkakati

Kumpeleka mtoto shule ya msingi ya milioni 3 kwa mwaka , haina guarantee ku secure future nzuri kama hizo milioni 3 kila mwaka(kwa miaka 7 ni milioni 21) ukawekeza kwenye viwanja au mashamba kwenye miji au karibu na miji inayokuwa kwa kasi..miaka 15 hadi 20 itakuwa na thamani kuliko hivyo vyeti

Japo elimu inampa ufahamu mtoto pia, ila sio lazima iwe ghali kiasi hicho

Edit
Naona kuna watu wanakosoa as if nimesema mtoto asisomeshwe, unaweza ukamsonesha tu shule nzuri za wastani kwa ada ya kawaida au hata Serikalini, wengi wamesoma huko na wapo vizuri

Na uzi kama huu unalenga Watanzania wanaoingiza kipato typical cha kitanzania, kuanzia milioni 3 hadi 50 kwa mwaka, sasa mtu anakuja na hoja ya mtu anaingiza milioni 200 kwa mwaka, hao ni asilimia ngapi ya watanzania? Na hao hawana shida na tatizo la kwenye hii mada yangu
Umeiweka Sawa Sana mada yako watu wanakupinga sababu wako so emotional but ukweli nikuwa elimu ina nafasi na uwekezaji Kwa Dora ya kuwapa watoto nyenzo na njia ya wao kuishi baadae ni kitu muhimu na kikubwa.....ubaya wa elimu inaweza isiwe na maarifa mengi ukajikuta unaishi na elimu huku ukijutia elimu yako.... uwekezaji tunaujua wale tulioambulia kuachwa na wazazi katika umri mdogo na elimu hii ya kayumba but uwekezaji wa wazazi ulitupa nyenzo za kuishi na kukua na gape dogo la ukosefu wa mambo flani....HUU UZI NI MUHIMU SANA C KWA SABABU YA UNA KIPATO KIDOGO NDO UFATE USHAURI HUU ILA PIA HATA MWENYE MALI AMBAYE HAZINA MISINGI ZIPO HOJA ZA MUHIMU KUZINGATIA ZITAKAZO KUSAIDIA KUAMUA ELIMU YA MWANAO NA ASSETS ZA KUWEKEZA......
 
Tunawapeleka watoto shule za pesa sio Ili waje ajiriwa bali wapate connection na watoto ambao wazazi wao ni wanufaika wa kodi zetu.
For the future ya mtoto
 
Somesha kwa kadiri ya mapenzi yako na uwezo wako kifedha. Unaweza pia kuwaweka tu nyumbani. Wapo wengi vjijini huko hawakanyagi shule. Usiwapangie watu usiowajua. Hawavunji sheria yoyote ya nchi.
Edit
Naona kuna watu wanakosoa as if nimesema mtoto asisomeshwe, unaweza ukamsonesha tu shule nzuri za wastani kwa ada ya kawaida au hata Serikalini, wengi wamesoma huko na wapo vizuri.
 
Akina mama na baba junior watasema umasikini unakusumbua na usiwapangie matumizi.

Ndio maana wachaga na wahindi wanatupiga gape sana kimaisha,wanachanga karata zao smart sana,sio kwa mkumbo.
Kivip sas wachaga wanatupita
 
Just nimeenda pharmacy fln hapa Yule dad cjui muhaya au mjaluo eti mtot ake ka miaka mitatu analipiwa milinoni 2500000 nakmuanglia nakaona Kama vile ananipiga kamba nikatazama duka lake la dawa nikamuuliza kwann Mr wako asikubust uboreshe duka lako lilwe la kisas Zaid mnk hata tu Hakuna mzigo wa milin mbili pale

Dad Yule nilimtilia mashaka sna sipende watu wanajiona wako juu kielimu hili Hali Hakuna kitu eti tumetafuta shule ya milion mbili babu yake akakatah
 
Just nimeenda pharmacy fln hapa Yule dad cjui muhaya au mjaluo eti mtot ake ka miaka mitatu analipiwa milinoni 2500000 nakmuanglia nakaona Kama vile ananipiga kamba nikatazama duka lake la dawa nikamuuliza kwann Mr wako asikubust uboreshe duka lako lilwe la kisas Zaid mnk hata tu Hakuna mzigo wa milin mbili pale

Dad Yule nilimtilia mashaka sna sipende watu wanajiona wako juu kielimu hili Hali Hakuna kitu eti tumetafuta shule ya milion mbili babu yake akakatah
Milioni 25 au 2.5miliion?
 
Just nimeenda pharmacy fln hapa Yule dad cjui muhaya au mjaluo eti mtot ake ka miaka mitatu analipiwa milinoni 2500000 nakmuanglia nakaona Kama vile ananipiga kamba nikatazama duka lake la dawa nikamuuliza kwann Mr wako asikubust uboreshe duka lako lilwe la kisas Zaid mnk hata tu Hakuna mzigo wa milin mbili pale

Dad Yule nilimtilia mashaka sna sipende watu wanajiona wako juu kielimu hili Hali Hakuna kitu eti tumetafuta shule ya milion mbili babu yake akakatah
Hatari

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom