Tubadilike jamani

Ndikwega

R I P
Feb 1, 2012
5,979
5,524
Unajua humu jf kuna watu wapo kwa ajili ya kukashifu wachangia na watoa maada? Acheni hivyo jamani jaribu kutumia busara unavyokuwa unajibu hoja na siyo kupondo.Kama wewe unamaisha mazuri ni yako na siyo kuwaona wajinga wenye shida. Najua mmejitambua wenye sifa za kijinga kama hizo.Badilikeni.
 
Wakati mwingine awo wanaochangia huwa wanaongea ukweli,sema tu mtu kinyume na matarajio yake ataona kama wanaponda vile!,mimi hivyo hivyo niliona kama wanaponda vile ila yalinivyonikuta ndio nikakumbuka kuwa walikua wanaongea ukweli!
 
Pole sana Ndikwega, ndo maisha yalivyo, endelea kukomaa kutafuta kazi, uki win watakuheshimu
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom