Tubadili majina ya Daraja la Mfugale na Kijazi

Huyu jamaa n nonsense kabsa ko uktaka tuweke Jina la baba yako hapo
Hao watu nao (Kijazi+Mfugale) wanamichango Yao katika ujenz wa taifa

Ila Kama umekeleka lete jna la baba yako au babu yako tuliweke
Hao watu wamefanya kazi hizo kwa malipo na siyo hisani!
 
Uma uhakika na hili unalosema?
Ndiyo! Ni watumishi wa umma kama wengine tena kwa kulipwa mishahara minono. Hawaku-design wala kujenga hiyo miradi bali wamesimamia kitu ambacho hata wewe mhandisi ungeweza kukifanya kama ungepewa uzoefu na nafasi.
 
Wapo wengi sana wenye historia kubwa na nchi kuliko kijazi na mfugale.
Ikiwa unaona hao hawafai basi tambua wengine pia wanaona uliona wanafaa hawafai. Hata wao watasema viitwe Dar es Salaam National Stadium, Dar es Salaam International Airport na Kigamboni Over Bridge.

Right and Left inategemea umesimamia wapi.
 
Kwa nini hizo flyovers zilipewa hayo majina??
Ulishawahi kulala njaa kisa madaraja hayo yamepewa majina hayo?

Kama No.. Basi chuki sio nzuri fanya mambo mema au kitu hata mtaani kwenu wakipe kisima jina lako
 
Viongozi wa kitaifa majina yao yakiitwa kwenye miradi mikubwa mnanung'unika. Ila hayo majina ya kiingereza ya 'interchange' sijui overhead ndio mnayoyataka!! Hivi wenzetu ni maharage gani mnatumia? Mbona mnaonekana ni wazito wa akili?



Sent from my Android using JamiiForums mobile app
 
Wameitendea mema gani wakati walikuwa wanalipwa mishahara minono kutoka katika kodi za wanyonge??
Hakuna jina linalobadilishwa, wajenga ya kwao ndio wayaita hayo majina mapya, haya madaraja na fly over ni kumbukumbu za watumisha walioitendea mema Tz miongoni mwa watumishi wengi wachapakazi.
 
Back
Top Bottom