Tuaosoma chuo kikuu cha Tengeru TICD tukutane hapa

products za vilaza hiz
Utakuwa umekosea sana nakumbuka nilishanyia interview wanafunzi wenye diploma kutoka hapo Tengeru kilimo na kulikuwa na wenye Degree ya kilimo kutoka SUA ila wa diploma kutoka Tengeru walikuwa very bright wanaufahamu mkubwa hadi unahisi hawa candidates wamekosewa chuo walipo somea maana Diploma waliwafunika Degree mno... Na maswali yalikuwa ya basic kabisa kwa mtu aliesoma Kilimo..
 
Back
Top Bottom