Tuanzishe Mafunzo ya Kijeshi Nchini Nzima Kupitia JKT kwa Watanzania Wote na Mchakamchaka Kila Siku

SolarPower

JF-Expert Member
Jan 17, 2011
223
27
Kuanzia Kesho Alfajiri (07/04/2011) na Muda wa Kuanza Kazi kwa Nchi Nzima Uwe Saa 9 Tisa Usiku wakati muda wa kutoka kazini ukiwa ni saa 12 Jioni kwa nchi Nzima.

Na kila Mtanzania asome kitabu cha TOYOTA TALENT ambacho kinapatikana katika duka la vitabu hapa Mlimani City.
 
naona umekuja kutuwekea tangazo la biashara.

kinauzwa bei gani hiko kitabu?
 
JKT kwa taifa zima haikuepeki. Bei ya hicho Kitabu kwa nakala moja ni shilingi elfu thelathini na tano.
 
Unaishi wapi wewe , maeneo mengine mida hiyo ya alfajiri ndiyo ya wakabaji
 
Kuanzia Kesho Alfajiri (07/04/2011) na Muda wa Kuanza Kazi kwa Nchi Nzima Uwe Saa 9 Tisa Usiku wakati muda wa kutoka kazini ukiwa ni saa 12 Jioni kwa nchi Nzima.

Na kila Mtanzania asome kitabu cha TOYOTA TALENT ambacho kinapatikana katika duka la vitabu hapa Mlimani City.
Tunahitaji flying psychiatrician kwenye jukwaa kwani naona post za baadhi kama hawa zinaelezea critic point ya mtu....

Invisible pls do ze needful
 
Kweli namimi nimekipata bureeee! Japo sio bure kihivyo kwani nalipa gharamaza net!! Kwahali ya tz ilivyo sasa kunaulazima wa mafunzo ya jkt kwa kila mtz yao yatakuwa nimaandalizi ya mapinduzi yahaki na yaumma! Mungu ibariki tz
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom