Tuanzishe kampeni nyingine:"DictatorMustFall"

Ki Mun

JF-Expert Member
Oct 6, 2014
3,443
4,384
Kwa maoni yangu tumemwacha dikteta afanye atakavyo, ili kuzuia hilo na kuzipa nguvu kampeni nyingine mathalani @FreeMaxenceMelo, @BringBackBen na @Justice4Lema, nashauri tuanzishe na hiyo harakati mpya, @DictatorMustFall...

Najua tukifanya hivi mateso kwa ndugu zetu hao yatazidi lakini what do we do, tukae kimya na kumtazama akiwala nyama mama zetu, baba zetu na watoto wetu? no, i think we have been too lenient on the dictator, time to stand up and fight him!
 
images-612.jpeg
 
Wabongo wanafiki kweli kweli!
Mbwembwe za Kumtetea Max ni za Nyuma ya Kicharazio cha Computer Leo kakosa Mtu wa kumdhamini karudishwa ndani wakati dhamana ilikuwa Wazi !
Ukiona Comments za watu unaweza ukadhan Leo pasi getosha Mahakamani
 
Dicteta hawezi fanikiwa kutawala Tanzania.......

Nchi yeyote ambayo ilishaonja democracy kuiludisha kwenye dictatorship ni ngumu..........

Tumeletewa Magu tupime performance ya Jakaya! Leo hii hatujisikii aibu kusema tulishawahi kuwa na Demokrasia!
 
Wabongo wanafiki kweli kweli!
Mbwembwe za Kumtetea Max ni za Nyuma ya Kicharazio cha Computer Leo kakosa Mtu wa kumdhamini karudishwa ndani wakati hukumu ilikuwa Wazi !
Ukiona Comments za watu unaweza ukadhan Leo pasi getosha Mahakamani
Ulikuwepo mahakamani?
 
Max kakosa mtu wa kumdhamini? Hujui au unafanya makusudi???
 
If We Must Die

By Claude McKay

If we must die, let it not be like hogs

Hunted and penned in an inglorious spot,

While round us bark the mad and hungry dogs,

Making their mock at our accursèd lot.

If we must die, O let us nobly die,

So that our precious blood may not be shed

In vain; then even the monsters we defy

Shall be constrained to honor us though dead!

O kinsmen! we must meet the common foe!

Though far outnumbered let us show us brave,

And for their thousand blows deal one death-blow!

What though before us lies the open grave?

Like men we’ll face the murderous, cowardly pack,

Pressed to the wall, dying, but fighting back!
 
Uzuri na ubaya wa wabongo ni kwamba wao maneno meengiiii vitendo ziro!

Acheni simu zenu chini twende barabarani.

Hahahaha.... Ukitaka umpatie mbongo we mpe sehemu ya kulalamikia kama hapa jf, utawatala kirahisi kweli.
Nafikiri Magu hajajua tu hill.
 
Max kakosa mtu wa kumdhamini? Hujui au unafanya makusudi???
Mkuu hata Mimi nashangaa wadhamini wamefika kibao ...

Kilichoharibu ni mawakili wa Serikali wamekimbia kabla ya muda alafu jamaa anajitoa ufahamu...

Sijui ni utoto au nini?
 
Mkuu hata Mimi nashangaa wadhamini wamefika kibao ...

Kilichoharibu ni mawakili wa Serikali wamekimbia kabla ya muda alafu jamaa anajitoa ufahamu...

Sijui ni utoto au nini?
Siku na yeye akifikiwa ndio atajua ukweli wa kweli
 
Wewe mburula kweli, unajua hata kilichotokea mahakamani hadi akakosa dhamana. Mpumbavu gani aliyekuambia alikosa mtu wa kumwekea dhamana? Safari nyingine usijifunze ujinga makusudi.

Walihitajika Wadhamini Wawili lakin kwa Umaarufu wake ingepaswa wawepo wadhamini zaid ya kumi hasa ukizingatia Masharti hayakuwa magumu, Siku ya kudhaminiwa Sheikh Ponda idadi ya waliojipanga kuja kumdhamini ilikuwa kubwa kuliko ukubwa wa Chumba cha Mahakama.

Hadhi ya Max sio ya kukosa wadhamini kwa kigezo eti mmoja wa Wadhamini alikosa barua ya Serikal za Mitaa.
Acha kujitetea na kuigiza Uzalendo wakat Leo Mahakamn hata Alama ya kwato zako hazikuonekana!
 
Wabongo wanafiki kweli kweli!
Mbwembwe za Kumtetea Max ni za Nyuma ya Kicharazio cha Computer Leo kakosa Mtu wa kumdhamini karudishwa ndani wakati hukumu ilikuwa Wazi !
Ukiona Comments za watu unaweza ukadhan Leo pasi getosha Mahakamani
we pumba kabisa mahakama mwisho wa shauri na dhamana ni saa nane mchana Mexence kapelekwa Keko saa tano asubuhi, hauoni kuwa kuna ukakasi hapo..?
 
Nimetokea kuwachukia baadhi ya watu hapa tz kwakweli ngoja xmass niende ke kupumzisha akili maana....
 
If We Must Die

By Claude McKay

If we must die, let it not be like hogs

Hunted and penned in an inglorious spot,

While round us bark the mad and hungry dogs,

Making their mock at our accursèd lot.

If we must die, O let us nobly die,

So that our precious blood may not be shed

In vain; then even the monsters we defy

Shall be constrained to honor us though dead!

O kinsmen! we must meet the common foe!

Though far outnumbered let us show us brave,

And for their thousand blows deal one death-blow!

What though before us lies the open grave?

Like men we’ll face the murderous, cowardly pack,

Pressed to the wall, dying, but fighting back!
Mkuu umenikumbusha mbali sana, nitumie mashari haya pm plz
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom