Tuanzishe kampeni nchi nzima yenye jina la sitodanganywa na wanasiasa nitailinda amani

Hizi kampeni mbona nyingi sana lakini yeye kwa matendo yake anazibomoa kabla hata hamjaanza?! UKUKU nadhani hata yeye haukubali, hebu jaribuni kuwa mnahoji kama kuna alipo kosea ajirekebishe, dah! mjue huyu sio malaika ati..
 
Amani ni jambo muhimu sana kwa nchii hii tuweke mbali itikadi zetu za kivyama na kuanzisha kampeni kwa nchi ya social network yenye jina la sitodanganywa na wanasiasa nitailinda amani ya nchi yangu.Tunajua kuna baadhi ya wanasiasa wanatoa matamko mengi yenye lengo la kuwachochea wananchi na kutengeneza chuki kati ya watanzania dhidi ya serikali viongozi wa namna hii ni wakupuuzwa.

Kabla ujafikiria kutumika kisiasa kwa namna moja au nyingine kuvuruga amani mfikirie mama yako mzee,mfikirie bibi yako mzee wafikirie watoto wako wenye ndoto kubwa fikiria maisha yako,fikiria marafiki zako,kama umeoa fikiria mke wako kipenzi,kama ujaoa mfikirie mchumba wako mwisho angalia kilichotokea libya angalia kilichotokea freetown,angalia yanayoendelea congo wanaokufa sio wanasiasa bali ni raia wanyonge.

TUHESHIMU MAWAZO YA WATANZANIA TULIO WENGI TULIOMCHAGUA RAIS JPM TUNAMKUBALI TUWEKE MBALI ITIKADI ZA KISIASA NA KUMUUNGA MKONO KWA KAZI NZUR ANAZOFANYA

Tuungane kwa pamoja kuitetea na kuipigania amani ya nchi yetu na kuwapuuza wale wote wasioipenda amani yetu

Will be very productive project maana tunaanza na Mtukufu sana Rais wa Malaika aache kulidanganya Taifa letu.Period
 
kwani wewe hupendi amani

Amani ya kuwaweka wapinzani MAhabusu kila siku??Amani ipi unayoongelea wewe?Amani ya kutukana watanzania kwamba ni wapumbavu na malofa sababu mliweza kukwapua raslimali zao wakaendelea kuwanyamazia??Au amani ya kujifanya Mungu mtu??

Siipendi CCM lakini nimemchukia zaidi huyu Mwenyekiti wa Makinikia sababu ya kuligawa Taifa letu
 
wapinzani wanakaa mahabusu kwa utovu wao wa nidhamu huwezi kutukana halafu watu wakuangalie tu
 
Utovu wa nidhamu ni kufanya mikutano?Mbona Mkapa alipotukana watanzania hamkumuweka mahabusu??Au matusi ni upande mmoja tu??

Duh!AKili za UVCCM hakika haziendani na akili za binadamu wa kawaida
 
utovu wa nidham ni kutokana mamlaka zinazokuongoza hata vitabu vya dini vimelisema hilo
 
Amani ni jambo muhimu sana kwa nchii hii tuweke mbali itikadi zetu za kivyama na kuanzisha kampeni kwa nchi ya social network yenye jina la sitodanganywa na wanasiasa nitailinda amani ya nchi yangu.Tunajua kuna baadhi ya wanasiasa wanatoa matamko mengi yenye lengo la kuwachochea wananchi na kutengeneza chuki kati ya watanzania dhidi ya serikali viongozi wa namna hii ni wakupuuzwa.

Kabla ujafikiria kutumika kisiasa kwa namna moja au nyingine kuvuruga amani mfikirie mama yako mzee,mfikirie bibi yako mzee wafikirie watoto wako wenye ndoto kubwa fikiria maisha yako,fikiria marafiki zako,kama umeoa fikiria mke wako kipenzi,kama ujaoa mfikirie mchumba wako mwisho angalia kilichotokea libya angalia kilichotokea freetown,angalia yanayoendelea congo wanaokufa sio wanasiasa bali ni raia wanyonge.

TUHESHIMU MAWAZO YA WATANZANIA TULIO WENGI TULIOMCHAGUA RAIS JPM TUNAMKUBALI TUWEKE MBALI ITIKADI ZA KISIASA NA KUMUUNGA MKONO KWA KAZI NZUR ANAZOFANYA

Tuungane kwa pamoja kuitetea na kuipigania amani ya nchi yetu na kuwapuuza wale wote wasioipenda amani yetu
Unafikiria kuna mtu hapendi amani?
Sisi wakristo amani ni tunda la roho?amani ya nchi hiyo ni summation ya amani za watu ktk roho zao!je watu hawa wanaamani rohoni mwao?
Ukianza kuona sintofahamu Jiulize?what is going on kwa watu hao?
Uhuru na amani yetu iko mikononi wa watanzania wote na tunapaswa kuilinda kwa matakwa ya sheria zetu ndogo ndogo na sheria mama(katiba) kama inavyoelezea juu ya mambo yanayoleta msingi wa jamani nchini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
utovu wa nidham ni kutokana mamlaka zinazokuongoza hata vitabu vya dini vimelisema hilo
Ila mnapompa Mkapa jukwaa la kutukana sio utovu wa nidhamu!
Mnachokitafuta mtakipata!Amani huletwa na haki,sio kampeni uchwara kama hizi!
Haki inapokosekana,hali ya utulivu hutoweka!Hili halina haja ya mtu kuchochewa,inakuja tu!
 
Unafikiria kuna mtu hapendi amani?
Sisi wakristo amani ni tunda la roho?amani ya nchi hiyo ni summation ya amani za watu ktk roho zao!je watu hawa wanaamani rohoni mwao?
Ukianza kuona sintofahamu Jiulize?what is going on kwa watu hao?
Uhuru na amani yetu iko mikononi wa watanzania wote na tunapaswa kuilinda kwa matakwa ya sheria zetu ndogo ndogo na sheria mama(katiba) kama inavyoelezea juu ya mambo yanayoleta msingi wa jamani nchini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kila mtu anapenda amani.
Ila viongozi wetu hawa wanapandikiza chuki mioyoni mwa watu na baadae wanasisitiza amani.
Mfano.
1.Magufuli kafuta ajira, na katanguliza uccm mbele. Bila kuwa mwanaccm unabaguliwa. Watu wanataka kuchakachua katiba ili aendelee kukaa
2.Kagame naye kachakachua katiba ili aendelee kukaa. Katiba inasema ni vipindi 2 tu lkn yy anataka kufia madarakani.
3. Kuruzinza naye ni wale wale
3. Mugabe....
4. Museveni naye anataka kuchakachua katiba ili awe raisi wa maisha.

WOTE HAWA WANASISITIZA AMANI. Afrika kuendelea kiuchumi ni ngumu tutaendelea kuwa masikini miaka nenda rudo na kuwafikia wazungu ni ndoto.
Hebu jiulize. Mbona wazungu hawana huu upuuzi wa kuchakachua katiba? Afrika nani katuroga Au ndiyo bara giza km wanavyodai?
Viongozi ndiyo wa 1 kuharibu amani ya nchi. Sidhani km yule kijana aliyesoma ualimu kwa shida ili aikomboe familia yake sidhan km atakuja kuwa mzalendo sbb ashapandikiziwa roho ya chuki
 
mbona malkia elizabeti anakaa milele na wingereza inaendelea magufuli ni kiongozi bora acha atawale milele
 
Umesoma shule ww? Shule ulienda kusomea ujinga wa ccm?
Kwahiyo magufuli naye ni malikia elizaberh mpaka atawale milele?
Uingereza ni nchi ya kifalme kwahiyo usilinganishe na uozo wa lumumba.
Hapa tunaongelea nchi zinazoongozwa na maraisi siyo malakia wala wafalme ss bado hatujafikia huko.
Machafuko huletwa na kitu kidogo sana. Hebu thubutuni aise mchakachue katiba ******** aongoze milele aise huo upuuzi pelekeni rwanda, na nchi zingene.
Ikitokea lazima niingie msituni. Huu upuuzi siwezi kuukubali Tanzania. Uongozi mpaka ufe wengine tutakuwa raisi lini?
Ww acha ujinga kbsa. Huu upuuzi msifanye Tz mtajuta
 
mbona malkia elizabeti anakaa milele na wingereza inaendelea magufuli ni kiongozi bora acha atawale milele
wazungu hawana huu upuuzi wa kuchakachua katiba.
Hii nchi msiifanye ni ya ccm ni ya watanzania wote.
Nyie endeleeni na ujinga wenu. Nawalaumu sana sbb nyie ndiyo chanzo cha watu kuuwawa kibiti.
Kibiti meleta nyinyi ndiyo maana meshindwa hata kuifutilia mbali.
Nyie msilete ujinga kbsa. Ww ndiyo ajira yako hii sidhani km mtu mwenye akili timamu anaweza kuwa busy na jf kwa mada za kijinga km zako.
Shit
Uliimfela
 
CDM ndo waongo tena wakiongozwa na tundu lissu ambaye ndo adui no moja wa mtanzania
Hhahahhahahhaaaaaaaaa, vichaa bwana yaan hapo hata nafsi yako inakusuta kuwa una andika unia tangu nchi imepata uhuru usha wahi sikia hao CHADEMA wanaongoza serikali???
 
upinzani unaweza kuhusika kwa namna moja au nyingine katika ishu ya kibiti but maswala ya kipolis tuwaachie polisi lakini mwenye akili aambiwi tazama wapinzani wana agenda ya kutuharibia nchi yetu
Halafu we kajamaa kama nakufahamu na hako kakitambi kako!! Hahahaaaaaaaa!! Kaaaazi kweli kwli
 
Back
Top Bottom