Tuanzisha rasmi harakati za kimtandao juu ya escrow

mnyikungu

JF-Expert Member
Jul 26, 2009
1,960
2,464
wakuu habari,

nina wazo moja tu siku ya leo... najua wengi wanaaccount zaidi ya social media moja... sasa katika kila account kila mtu aandike "RUDISHENI PESA ZA ESCROW ILI TUNUNUE MADAWA" au ujumbe wowote ambao tunaweza kuupata na kuupendekeza kwa pamoja... tuwashawishi marafiki na majirani na ndugu wenye acount iwe humu. iwe fb iwe twitter na kokote kunakoandikika... lazima tuwaonyeshe nguvu ya mitandaoilivyo.. kwa kufanya hivyo tutawashinikiza haata wabunge kuendelea kukomaa.

tufanye hivi kwa mapenzi mema kabisa kwa taifa letu, pata picha viongozi kesho wanaamka wanakuta kwenye kila social media kuna post moja tu.. "RUDISHENI PESA ZA ESCROW TUNUNUE MADAWA". Ni dhahili kabisa kuwa litawauma na litawapa shinikizo kabisaa.

tuhamashishe hili wakuu.
 
Anzisha.... Ninaamini wapuuzi pekee ndio watakuunga mkono
 
Acha kutupotosha, andamana peke yako...unajua libya na misri ilianzaje? Mimi siungi mkono wazo lako
 
mimi nimeandika kuhusu kuandamana hapa? mi nimeandika kuhusu kutumia keyboard zetu kuiamuru selikali ichukue hatua juu za pesa zetu
 
Rudisheni pesa za escrow tununue madawa!!!!!!!

Rudisheni pesa za escrow tununue
madawa!!!!!!!
Rudisheni pesa za escrow tununue
madawa!!!!!!!
Rudisheni pesa za escrow tununue
madawa!!!!!!!
Rudisheni pesa za escrow tununue
madawati!!!!!!!

ova
 
good idea lakini ni % ngapi ya watanzania wana account kwenye social media? maana harakati kama hizi zinahitaji wingi wa watu

RUDISHENI HELA ZETU TUNUNUE MADAWA.
 
Back
Top Bottom