Tuanze na Kova: Tusishirikiane Naye Kweye Polisi Jamii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tuanze na Kova: Tusishirikiane Naye Kweye Polisi Jamii

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Ng'wanangwa, Nov 4, 2010.

 1. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #1
  Nov 4, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Nimemsikiza kova akilamba miguu ya mafisadi kwa mtindo wa "mtumikie kafiri................"

  Hajui uchungu tulio nao kwa kuporwa haki yetu.

  Mimi nina mfano halisi: Makongolo Mahanga siyo mbunge halali wa Segerea, na hii kitu inanikera sana kila nikikumbuka.

  Tumfanye nini?

  Tusishirikiane naye kwa vyovyote katika mradi wake wa kifisadi wa Polisi Jamii.

  Hapo tutakuwa tumemmaliza.

  Au munaonaje?

  Bila jino kwa jino hawa hawatakoma.
   
 2. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #2
  Nov 4, 2010
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Hilo jambo hata mimi nakaribia kulikubali ingawa bado naendelea kulitafakari kwa kina.
   
 3. Jatropha

  Jatropha JF-Expert Member

  #3
  Nov 4, 2010
  Joined: Apr 9, 2009
  Messages: 1,152
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160

  SASA HAPO tunajikomoa wenyewe au kova vibaka watakapotuvamia?
  lets come up with intelligent ideas za kiuokomozi na sio hoja za kitoto.
   
Loading...