Tuanze kutabiri "visingizio" vya kushindwa kwa sera ya viwanda ifikapo 2020

Binafsi hupenda kutabiri au kueleza mtazamo wangu juu ya nini kinaweza kutokea hapo baadae based on what is happening now.

Kwa msingi huo huo,naona kuna viashiria vyote vya sera hii kufeli kwasababu ya siasa kutawala badala ya taalumu za watu kuachwa zifanye kazi.

Kabla ya mtu kuamua kuwekeza katika nchi yoyote ni lazima kwanza ajiridhishe kuwa akiwekeza katika nchi husika hata pata hasara na zaidi atarudisha hela aliyowekeza na pia atapata faida na pia biashara au uwekezaji wake utakuwa sustanaible.

Kwa kawaida mambo ya kuzingatia ni kama hali ya uchumi wa nchi husika, political stability, viwango vya kodi katika nchi husika,hali ya hewa, upatikanaji wa malighafi,soko la ndani na la nje,n.k kutegemeana na aina ya uwekezaji mtu anaotaka kuufanya. Wataalamu wanaelewa zaidi na wanaweza kutusaidia hapa.

Kwa nchi yetu factors nyingi ziko under control iwapo tutaacha siasa na tutakuwa serious na isitoshe nchi yetu imejaliwa kila kitu kuanzia hali nzuri ya hewa(hatuna extreme weather,n.k) ,maliasili mbalimbali na hata mito,mabonde na maziwa yanayofaa kwa kilimo cha umwagiliaji.

Pamoja na yote haya, sera hii ya viwanda bado inaweza kufeli tu kama tulivyofeli katika maeneo mengine ila wanasiasa wetu huwa hawakosa sababu za kujitetea wanaporudi kwa wananchi kuomba kura.

Kwa msingi huu,tutarajie sababu gani kutoka kwa wanasiasa iwapo kweli sera hii itatenda kufeli?

Mimi nataraji kusikia yafutayo:

1.Ukame
2.Mtikisiko wa uchumi duniani
3.Upotoshaji wa vyombo vya habari kuhusu hali ya uchumi wa nchi.
4.Tunahitaji muda zaidi hivyo tunaomba mtupe miaka mingene 5.

Unaweza kuoongeza kwenye hii list.
Huitaji kusikia visingizio!
ile bodi ya TRA ni jibu kwa anguko!
watu karibu 10 wanaomshauri raisi kuhusu uchumi, chini ya carpet wanapinga sera zake za uchumi!
anguko si utabiri tena bali kitu dhahiri!
 
Kazi ni kununua ndege au kuendesha biashara ya ndege?Kwa madaraka aliyonayo kuna ugumu gani wa yeye kuagiza ndege kwa kodi zetu?Umsesikia Fast Jet wanafuta baadhi ya route?Jiulize ni kwanini.

Kununua ndege kwa kodi za wananchi sio sifa bali sifa ni kuendesha hiyo biashara kwa faida otherwise mwisho wa siku utaambulia aibu tu.
kawashika vibaya mpaka unakunyakunya...mimi ntampa tena 2020
 
Michakato... Mpango mkakati.....mpango kazi......mpango wezeshi......upembuzi rasharasha......dokezo sabili.....uidhinishaji.....fungu la kasma....zinaendelea vizuri....CCM oyeeeeeeeee
 
Hapo 2020 kilio kitakuwa kilekile, ccm imeiba kura na tume ya uchaguzi sio huru.
 
Mtoa Maada ni mchambuzi mzuri WA siasa zetu hasa mambo to kiuchumi aliyosema yupo sahihi japo Kuna WATU wanaona kama a Nafurahi SERIKALI kushindwa Ila wenye akili tunajua
jamaa hilo jina lako kuna msela alikuwa anaitwa ivyo ivyo dom kati maeneo ya makole alisumbua sana na msela wake breki mamba
 
Uchumi wa dunia ulituathiri hivyo adhma yetu ya Tanzania ya viwanda tukashindwa kuitimiza.

Binafsi hupenda kutabiri au kueleza mtazamo wangu juu ya nini kinaweza kutokea hapo baadae based on what is happening now.

Kwa msingi huo huo,naona kuna viashiria vyote vya sera hii kufeli kwasababu ya siasa kutawala badala ya taalumu za watu kuachwa zifanye kazi na wanataalumu/wasomi kugeuka wanasiasa na kuweka kando taaluma zao.

Kabla ya mtu kuamua kuwekeza katika nchi yoyote ni lazima kwanza ajiridhishe kuwa akiwekeza katika nchi husika hata pata hasara na zaidi atarudisha hela aliyowekeza na pia atapata faida na pia biashara au uwekezaji wake utakuwa sustanaible.

Kwa kawaida mambo ya kuzingatia ni kama hali ya uchumi wa nchi husika, political stability, viwango vya kodi katika nchi husika,hali ya hewa, upatikanaji wa malighafi,soko la ndani na la nje,n.k kutegemeana na aina ya uwekezaji mtu anaotaka kuufanya. Wataalamu wanaelewa zaidi na wanaweza kutusaidia hapa.

Kwa nchi yetu factors nyingi ziko under control iwapo tutaacha siasa na tutakuwa serious na isitoshe nchi yetu imejaliwa kila kitu kuanzia hali nzuri ya hewa(hatuna extreme weather,n.k) ,maliasili mbalimbali na hata mito,mabonde na maziwa yanayofaa kwa kilimo cha umwagiliaji.

Pamoja na yote haya, sera hii ya viwanda bado inaweza kufeli tu kama tulivyofeli katika maeneo mengine ila wanasiasa wetu huwa hawakosa sababu za kujitetea wanaporudi kwa wananchi kuomba kura.

Kwa msingi huu,tutarajie sababu gani kutoka kwa wanasiasa iwapo kweli sera hii itatenda kufeli?

Mimi nataraji kusikia yafutayo:

1.Ukame
2.Mtikisiko wa uchumi duniani
3.Upotoshaji wa vyombo vya habari kuhusu hali ya uchumi wa nchi.
4.Tunahitaji muda zaidi hivyo tunaomba mtupe miaka mingene 5.

Unaweza kuoongeza kwenye hii list.
 
Binafsi hupenda kutabiri au kueleza mtazamo wangu juu ya nini kinaweza kutokea hapo baadae based on what is happening now.

Kwa msingi huo huo,naona kuna viashiria vyote vya sera hii kufeli kwasababu ya siasa kutawala badala ya taalumu za watu kuachwa zifanye kazi na wanataalumu/wasomi kugeuka wanasiasa na kuweka kando taaluma zao.

Kabla ya mtu kuamua kuwekeza katika nchi yoyote ni lazima kwanza ajiridhishe kuwa akiwekeza katika nchi husika hata pata hasara na zaidi atarudisha hela aliyowekeza na pia atapata faida na pia biashara au uwekezaji wake utakuwa sustanaible.

Kwa kawaida mambo ya kuzingatia ni kama hali ya uchumi wa nchi husika, political stability, viwango vya kodi katika nchi husika,hali ya hewa, upatikanaji wa malighafi,soko la ndani na la nje,n.k kutegemeana na aina ya uwekezaji mtu anaotaka kuufanya. Wataalamu wanaelewa zaidi na wanaweza kutusaidia hapa.

Kwa nchi yetu factors nyingi ziko under control iwapo tutaacha siasa na tutakuwa serious na isitoshe nchi yetu imejaliwa kila kitu kuanzia hali nzuri ya hewa(hatuna extreme weather,n.k) ,maliasili mbalimbali na hata mito,mabonde na maziwa yanayofaa kwa kilimo cha umwagiliaji.

Pamoja na yote haya, sera hii ya viwanda bado inaweza kufeli tu kama tulivyofeli katika maeneo mengine ila wanasiasa wetu huwa hawakosa sababu za kujitetea wanaporudi kwa wananchi kuomba kura.

Kwa msingi huu,tutarajie sababu gani kutoka kwa wanasiasa iwapo kweli sera hii itatenda kufeli?

Mimi nataraji kusikia yafutayo:

1.Ukame
2.Mtikisiko wa uchumi duniani
3.Upotoshaji wa vyombo vya habari kuhusu hali ya uchumi wa nchi.
4.Tunahitaji muda zaidi hivyo tunaomba mtupe miaka mingene 5.

Unaweza kuoongeza kwenye hii list.
upinzani
 
Maendeleo hayaji bilakuwa namipango madhubuti sasa nchiyetu inataka kuwa nchi yaviwanda halafu haotaji mikakati yakuwanchi ya viwanda so kamaunafikiria kwajicho la ndani utagundua hii ni danganya toto
 
mtakufa kwa presha. pitia wipkedia u-google air tanzania, tiyari magu kasha-order BOEING737 next gen. mtanyooka tu.
Kwa hiyo kwa mujibu wako hiyo Boeing 737 NG itabeba viwanda na kuvishusha pale Kipawa?
Zingatia mada basi unapochangia.
 
Elimu elimu elimu!
Wewe utakuwa msomi wa KG3,sizani kama hii hali ya uchumi wetu inaitaji kwenda shule au ushabiki?!
Wewe hata huo uchumi huujui kaa kimya!!
Kula kwenyewe unalishwa utaujuaje
 
Ndugu mtoa mada naomba unijibu.
Unapenda hiyo Sera ya viwanda ishindwe au ifanikiwe.
 
Kama mwananchi wa nchi hii ningependa sana ifanikiwe lakini ni ukweli pia haiwezi kufanikiwa bila kuwa na dhamira ya dhati wala mipango pamoja na sera rafiki rafiki kwa uwekezaji wa viwanda.

Ukiniambia Tanzania ni nchi ya uhakiki nitakuelewa lakini sio uniambie tunatala Tanzania iwe nchi ya viwanda utarajie tutaelewana.
 
jamaa hilo jina lako kuna msela alikuwa anaitwa ivyo ivyo dom kati maeneo ya makole alisumbua sana na msela wake breki mamba
Ya naskia jamaa alikuwa hawezekaniki na Mwisho sijui alikuja kuuliwa kisa matukio aliyokuwa anafanya
 
Back
Top Bottom