Tuanze kukisia maneno ya Zahera baada ya kichapo kutoka kwa Zesco. Kikongo ruksa!

Kamgomoli

JF-Expert Member
May 3, 2018
1,865
3,801
Boo njoo vile mi nasemaka, TFF iko inaonea sn Yanga. Wamenifungia mimi kuvaa hii niniiii kaptura,ona sasa tunapoteza mechi. Yote haya ni mambo ya ovyooo
 
Boo mimi nasemaya ile fit na confideshoo ya wajezaj haikua , walishindwa kuingiza gool kwa goal
 
Angalia kumawasapu, kumatwita yote yanasema yanga imeingizwa goli moya na zesco, mimi nawambia mashabiki yangu kwao tunaingiza goli hizimbili.
 
Juu vile toto Africa ilisabisha bhachezaji kuchoka, boo huwezi shinda mechi wakati tff napendelea sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom