Prosper C Manasse
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 635
- 690
*Kwa Bahati Nzuri Mimi Huwa Napenda Sana Mijadala Lakn Ya Kistaarabu. Nilipita Sehemu Nikakuta Jamaa Mmoja Anasema,
"Mimi Ningekuwa Magufuli Ningefuta Jeshi La Polisi".
*Sote Tunatambua Kila Jambo Ama Kitu Kinamaana Yake, Nilichofanya Nikamuuliza So Ukifuta Jeshi Hilo Ni Nani Watashika Hiyo Nafasi? Akajibu Jwtz.
Nilichogundua Ni Kwamba Jamaa Anachuki Zake Na Hata Wakiwekwa Hao Jwtz, Mwisho Wa Siku Bado Watachukiwa Tu Na Watu Hao Hao.
Kabla Sijaondoka Niliacha Swali Ambalo Kila Mmoja Aliliangalia Kwa Mtazamo Wake, Nikaona Si Mbaya Nikilileta Humu Nipate Mawazo Kadhaa Ya Watu Wanaojitambua.
SWALI:
1. Tufunge Nyumba Zote Za Ibada Tz (Makanisa/Misikiti) Kwa Siku30.
2.Tufunge Vituo Vyote Vya Polisi Tz Kwa Muda Huo Huo Wa Siku 30.
Je. . . !! Ni Kipindi Gani Tutaumia Zaidi?.
Naomba Kuwakilisha Tafadhari.