Tuangalie na haya kwanza, Tukiendelea na Siasa Zetu.

frema120

JF-Expert Member
Jan 1, 2012
5,099
1,337
Kwa style hii, watu wamekalia siasa tuuuu, tazama hizi picha uone mambo ya msingi ambayo kama watanzania tunapaswa kuyasemea kwa watawala hili wananchi wawe na maisha bora

kwani sasa Tanzania
  • kodi ipo juu sana huduma kidogo sanaa kwa wananchi (makusanyo mengine kulipana posho, wizi serikarini, n.k)
  • wizi serikarini ni mkubwa sanaaa
  • umeme umepanda juu, tumekaa kimya
  • maji hakuna na yakitoka ni mara 2 kwa wiki, bill inakuja na flat rate ya majitaka 12,000/=
  • vywakula vimepanda, hakuna wakusema
  • mishahara ndio midogo sanaaaaaaa.
  • tuzungumze haya kwanza, maCCM yanaleta mitufuano kwenye vywama ili wananchi tusahau haya juu......

kp26112013.jpg



lingine ni hili, mpaka inatia huruma na miCCM
kp22112013.jpg



Hila hii kiboko, tuombe uzima..
Watavuuka tuuuuuuuuuuu najua.
kama tukirudi juu kupigania hayo.
kp29112013.jpg
 
Shukran sana!, lakini umeegemea kumzungumzia ccm sana why?, make umesemea siasa kwa ujumla sio ccm tuuu!, mbona ivo jamani?, thanks!
 
Back
Top Bottom