Tuangalie hizi video mbili fupi tujifunze juu ya busara ya kuiongoza Tanzania yetu

Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
37,229
2,000
Ndugu wanabodi hapa chini nimeweka video mbili fupi sana za hotuba za marais wetu wapendwa wawili wa nyakati tofauti ambapo ndani ya hotuba hizo kuna jambo kubwa la kujifunza juu ya busara ya uongozi.

Hotuba hizi mbili ni darasa zuri sana la uongozi.Tukizingatia kwa vitendo kinachosemwa humo tunaweza kupiga hatua moja muhimu mbele kama Taifa.

Ni muhimu kila mtu kuangalia hotuba hizi mbili na kutengeneza muunganisho wake kisha kutafakari kama siyo kuchukua hatua.
 

Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
37,229
2,000
Vip mtaani kwako hawajakata umeme leo , au maji yapo ya kutosha
😁😁😁
1hJ.jpg
 

Kinuju

JF-Expert Member
Mar 20, 2021
2,186
2,000
Tangu lini Chadema mkaitakia mema Tanzania?
Vipi kuhusu MIGA ,Ndege kukamatwa?
 

Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
37,229
2,000
Tangu lini Chadema mkaitakia mema Tanzania?
Vipi kuhusu MIGA ,Ndege kukamatwa?
Ambae haitakii mema nchi yetu ni CCM ambao wanapata kiti cha urais wa Tanzania kisha wanakuja kwa uma kukiri waziwazi kuwa kiti hicho ni kikubwa sana kwao,ni janga kwao na hawakiwezi🐒🐒🐒

Na cha kushangaza zaidi ni kwamba wanang'ang'ania kiti ambacho ni janga kwao na hawakiwezi badala ya kung'atuka mara moja kupisha wanaokiweza kiti hicho.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom