Side Makini Entertainer
Member
- Jan 19, 2020
- 29
- 38
Kuna Habari kama Sio stori inasomeka kama ifuatavyo
Huyu Mandela aliyeiongoza South Africa alikuwa Feki alitengenezwa na Makaburu, Makaburu walimuua Mandela halisi halafu Wakamtengeza wa kwao ili awe Kibaraka wao hapo SA
Watu wanauliza Kwamba iweje Mandela aliyefungwa miaka 27 Jela halafu akatoka na kuwasamehe Mabeberu?
Wazungu huwa hawapendi Viongozi wa Africa wenye Misimamo mfano hawakumpenda Mugabe, Gaddaf nk lakini walimpenda Mandela na Wanamsifu Mandela kama Kiongozi bora Afrika wanampa sifa ata ambazo hapaswi kupewa.
Mandela halisi aliuawa Tarehe 8/5/ 1985 akiwa na miaka 67 ndio maana South Africa kuna sherehe inaitwa Dkk 67 za Mandela. Baada ya hapo Makaburu wakamtengeza Mandela wao
Mandela alipoingia jela alikuwa na Kidoti upande wa kulia wa Pua lakini alipotoka alikuwa na Kidoti Upande wa Kushoto.
Baada ya Mandela kutoka Jela Winnie Mandela hakutaka kuendelea kuwa Kimapenzi na Mandela Feki maana Mchongo mzima aliujua kwa hiyo ikatengezwa Zengwe kimakubaliano kwamba amechepuka halafu Mandela akapata hasira akampa Taraka.
Mandela halisi alifungwa Jela baada ya Kutaka kuingiza Askari Msituni ili kupambana Kuwaondoa Makaburu South Africa hapo ndio Makaburu wakamdaka na Kumfunga yaani Mandela lengo lilikuwa kumuondoa kwa Mtutu Mkaburu South Afrika arudi kwao.
Lakini huyu Mandela Feki alivyotoka Jela akaja na Sera za Amani kupinga Ubaguzi kwamba Watu Weusi Wasiwabugue Makaburu na Makaburu Wasiwabague Weusi baada ya Hapo Wazungu wakamkabidhi Tuzo ya Amani. Akapewa Uraisi wa South Africa. Wazungu wakampa Sifa Duniani kuwa ni Kiongozi bora Afrika na mpaka leo huyu Mandela kibaraka wao huyu Duniani kote anatambulika kama hero wa Africa.
Jiulize Mandela alikuwa Kiongozi bora Afrika kwa lipi? Kwa kuipatia Uhuru South Africa au kisa kukaa jela kwa kile wanachodai miaka 27?? Nyerere amezisaidia nchi zaidi ya 10 kupata Uhuru lkn haheshimiki lakin Mandela wao Feki anaheshimika kisa kuhubiri Wazungu kutobaguliwa wakija Afrika lkn si tukienda kwao tunabaguliwa.
Huyo Mandela Feki jina lake halisi ni Gibson Makanda
Naombeni Kujuzwa Zaidi.